Ndovu Special Malt yasherehekea ushindi wake jijini Dar
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akionyesha Kikombe alichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa kama bia yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezanma na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Nchini(TBL) wakionyesha Kikombe walichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNdovu Special Malt yaendelea kutangaza ushindi wake jijini Arusha
11 years ago
MichuziNdovu Special Malt yaburudika na wanywaji wake jijini Mwanza
11 years ago
MichuziWadau wa Ndovu Special Malt walivyojimwaya mwaya jijini Mbeya
11 years ago
GPL
11 years ago
Michuzi
NDOVU SPECIAL MALT YASHINDA TUZO YA MONDE SELECTION 2014


11 years ago
GPLPATI YA TBL BAADA YA NDOVU SPECIAL MALT KUPATA TUZO YA KIMATAIFA
11 years ago
Michuzi
Safari Lager na Ndovu Special Malt zapata tuzo za Monde Selection nchini Ufaransa


11 years ago
Michuzi
Ndovu Special Malt yakabidhi vifaa vitakavyosaidia kukabiliana na Ujangili katika Hifadhi za Wanyama nchini

11 years ago
MichuziBIA YA SAFARI LAGER NA NDOVU SPECIAL MALT ZAREJEA NCHINI NA TUZO YA UBORA WA KIMATAIFA 2014 “INTERNATIONAL HIGH QUALITY TROPHY”