Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PATI YA TBL BAADA YA NDOVU SPECIAL MALT KUPATA TUZO YA KIMATAIFA

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli, akionyesha kikombe alichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa ikiwa bia  yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezana na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Slaam . Kikuli  na Meneja Masoko wa TBL wakionyesha kikombe walichoshinda kupitia bia ya Ndovu.… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BIA YA SAFARI LAGER NA NDOVU SPECIAL MALT ZAREJEA NCHINI NA TUZO YA UBORA WA KIMATAIFA 2014 “INTERNATIONAL HIGH QUALITY TROPHY”

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Safari Lager High International Quality Trophy iliyoshinda hivi karibuni kutoka katika taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa. Picha ya Pamoja mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere akitoka Ufaransa kuchukua tuzo ya Ubora wa Kimataifa(Safari Lager High International Quality Trophy)...

 

11 years ago

Michuzi

NDOVU SPECIAL MALT YASHINDA TUZO YA MONDE SELECTION 2014

 Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania,Fombo Butallah (kulia) akizongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akizingumzia ushindi wa tuzo ya Dhahabu (Monde Selectiaon) ulioipata Bia ya Ndovu Special Malt katika mashindano ya Bia kutoka makampuni mbali mbali Duniani,yaliyofanyika nchini Ufaransa hivi karibuni.Kulia ni Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamella Kikuli.  Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamella Kikuli akielezea namna mashindano hayo ya Bia...

 

11 years ago

Michuzi

Safari Lager na Ndovu Special Malt zapata tuzo za Monde Selection nchini Ufaransa

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli(wa pili kulia) na mpishi wa bia wa Kampuni ya Bia nchini Tanzania(TBL) Cavin Nkya(wa pili kushoto) wakiwa wameshikilia tuzo zao za ubora wa kimataifa(International Quality Trophy) za Ndovu Special malt na Safari Lager walizoshinda hivi karibuni nchini Ufaransa kutoka kwenye Taasisi ya kimataifa ya Monde Selection. Meneja wab Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akiwa ameshikilia chupa ya bia yake iliyoshinda tuzo ya Ubora wa...

 

11 years ago

Michuzi

Wadau wa Ndovu Special Malt walivyojimwaya mwaya jijini Mbeya

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli(wa pili kulia), akigonanija chupa za bia ya Ndovu Special Malt na wadau wa bia hiyo wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Mbeya hivi karibuni. Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akizungumza na wadau wa bia hiyo wakati wa hafla ya...

 

11 years ago

Michuzi

Ndovu Special Malt yasherehekea ushindi wake jijini Dar

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akionyesha Kikombe alichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa kama bia yenye ubora wa kimataifa wakati wa hafla ya kupongezanma na wadau wa bia hiyo iliyofanyika Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli na Meneja Masoko wa Kampuni ya Bia Nchini(TBL) wakionyesha Kikombe walichoshinda kupitia bia ya Ndovu kutoka katika Kampuni...

 

11 years ago

Michuzi

Ndovu Special Malt yaburudika na wanywaji wake jijini Mwanza

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akizungumza na wadau wa bia hiyo wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Mwanza katika Hoteli ya JB Delmonte. Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli(katikati),Meneja Masoko TBL, Fimbo Butallah(kulia) na Meneja Masoko na Usambazaji TBL Kanda ya Ziwa,...

 

11 years ago

Michuzi

Ndovu Special Malt yaendelea kutangaza ushindi wake jijini Arusha

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akizungumza na wadau wa bia hiyo wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Warembo wa bia ya Ndovu Special Malt wakiwa katika picha ya pamoja na kikombe wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa...

 

10 years ago

Michuzi

Ndovu Special Malt yakabidhi vifaa vitakavyosaidia kukabiliana na Ujangili katika Hifadhi za Wanyama nchini

 Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt,Pamela Kikuli akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya muendelezo wa harakati zake za kusaidia kuimarisha ulinzi wa Wanyama aina ya Tembo ili wasiuwawe hapa nchini,ikiwa ni Bia iliyobeba jina la Mnyama huyo,ambapo wametoa vifaa mbali mbali vya kusaidia ulinzi huo,ikiwa ni pamoja na Darubini kubwa (Binoculars) na trimble GPS ambazo zitasaidia katika harakati za kupambana na ujangili katika mbuga za wanyama nchini.Kulia ni Meneja...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani