Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NELSON MANDELA MWISHO WA ENZI!

Nelson Rolihlahla Mandela ‘Mzee Madiba’ enzi za uhai wake. SHUJAA na mwamba wa Afrika, Nelson Rolihlahla Mandela ‘Mzee Madiba’ amefariki dunia Desemba 5, mwaka huu akiwa na umri wa miaka 95 kwa maradhi ya mapafu.
Hakuna ngozi nyeusi na hata nyeupe anayeweza kubisha kuwa rais huyo mstaafu wa Afrika Kusini na mtetezi wa watu weusi amepitia mambo mengi. Tukiacha kukua kwake, ujana na mengine, tujikumbushe...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Maisha ya Nelson Mandela

Nelson Mandela aaga dunia baada ya kuugua homa ya mapafu kwa muda mrefu. Je utamkumbuka vipi Mandela

 

11 years ago

BBC

Nelson Mandela: Timeline

Nelson Mandela's life story in video and pictures

 

12 years ago

BBCSwahili

Wasifu wa Nelson Mandela

Mandela alikuwa Rais wa zamani wa Afrika Kusini na amefariki akiwa na umri wa miaka

 

11 years ago

BBCSwahili

Nelson Mandela:Misa ya wafu

Maelfu ya watu wanaendelea kuwasili katika uwanja mkubwa wa FNB mjini Johanessburg kwa ajili ya misa ya wafu ya hayati Nelson Mandela,

 

11 years ago

BBC

Nelson Mandela: his economic legacy

What economic legacy did he leave for South Africa?

 

11 years ago

BBC

Nelson Mandela - the final goodbye

Grief-stricken but thankful South Africa pays respects to Mandela

 

11 years ago

Habarileo

Undugu wa Nelson Mandela Tanzania

Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati wa Maadhimisho ya miaka 52 ya Uhuru wa Tanganyika yaliyofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).WAKATI dunia ikienda Afrika Kusini kumzika mpiganaji dhidi ya ubaguzi wa rangi duniani, Baba wa Taifa la Afrika Kusini, Nelson Mandela, Tanzania inaomboleza ikiwa na kumbukumbu za undugu wa tangu miaka ya 1960.

 

11 years ago

BBC

VIDEO: What is Nelson Mandela's legacy?

What did Mandela really do for South Africa?

 

11 years ago

BBC

VIDEO: Nelson Mandela the philanthropist

Nelson Mandela will perhaps be remembered as much for his fight for the underprivileged as his fight against white minority rule

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani