Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NesiWangu Show...Albinism

Karibu katika kipindi cha NesiWangu.
Katika kipindi hiki, Harriet Shangarai amezungumza na wanaharakati wa masuala ya Albinism. Sehemu ya kwanza ni mazungumzo na Daisy Makwaia wa Albino Charity Organization na sehemu ya pili ni mazungumzo yao na mwanaharakati mwenye Albinism Babu Sikare wa Afrobino Ltd
Karibu

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NesiWangu Show.......Malaria Kit

NesiWangu Show ni kipindi kinachokusudia kuongeza mwako katika uwanja wa Afya, upatikanaji wa huduma zake na elimu-afya kwa jamii.Katika kipindi hiki, tunazungumza na Mkurugenzi wa Jenga Tanzania Foundation, Nassor Basalama anayezungumzia kuhusu kipimo cha Malaria ambacho Jenga Tanzania Foundation inapanga kukisambaza bure kwa watu wa kipato cha chini nchini Tanzania.Karibu uungane nasi

 

9 years ago

Michuzi

NesiWangu Show hosts ChildBirth Survival International

Harriet Shangarai, Stella Mpanda and Tausi Suedi"Pregnancy is not an illness or disease" say Childbirth Survival International (CSI) Co-founders - Stella Mpanda, CNM and Tausi Suedi, MPH.It is estimated at least 800 women die every day due to pregnancy, childbirth, and post-childbirth complications, most of which are preventable.Mama Mpanda and Tausi Suedi have an informative discussion with Harriet Shangarai of Nesiwangu show (click here) and leave no stone unturned as they passionately...

 

9 years ago

Vijimambo

NesiWangu: Help Our Sisters !.

Bofya:
 Help the Sisters of Our Lady Queen of Africa to Op...: SPECIAL REQUEST We the Sisters of Our Lady Queen of Africa  have managed to obtain Dispensary equipment from the people of good will, b...



 

9 years ago

Bongo5

Navy Kenzo watumia 80% ya malipo ya show kufanya maandalizi ya show hiyo

Ili msanii afanikiwe anahitajika awe mwepesi katika kuwekeza katika kazi zake ili kujiongezea thamani ya kazi yake. Wapo wasanii wengi ambao wanajinyima kufanya starehe na mambo mengine ya kimaisha ili wawekeze katika kazi pesa wanazopata kwenye shows pamoja na vipato vingine. Nahreel amesema kuwa yeye na Aika wanaounda Navy Kenzo walitumia asilimia 80 ya pesa […]

 

9 years ago

Vijimambo

NesiWangu: Attention Students!

NesiWangu: Attention Students!: HBCU Students! This spring and summer, The Washington Center is offering paid federal internship opportunities with the: Federal A...

The Washington Center: Federal Diversity Internship Initative

 

9 years ago

Vijimambo

NesiWangu: DRIVE-BY-SHOOTING!

NesiWangu: DRIVE-BY-SHOOTING!:  Ni uhalifu  unaojumuisha gari lililo katika mwendo huku likimwaga risasi kwa raia.Uhalifu huu wa kinyama ni sugu katika baadhi ya maeneo ...


 

10 years ago

Vijimambo

NesiWangu: MAJI NI UHAI !.

NesiWangu: MAJI NI UHAI !.: MAJI NI UHAI Kama picha hii inavyoashiria, ardhi bila maji hunyauka na kupasuka,kadhalika mmea bila maji hunyauka na kufa. Asilimia 60%...

 

10 years ago

Dewji Blog

Yamoto Band wazindua video yao kwa bonge la show Maisha Club, hizi ni picha za show nzima

Usiku wa Kuamkia leo Yamoto Band ambao wanafanya vizuri sana katika anga la Muziki kwa sasa, wamepiga Bonge la show ndani ya New Maisha Club wakiwa wanazindua Video ya wimbo wao Mpya “Niseme nisiseme” video ambayo imefanywa na Pabro kutoka kampuni ya D360,

Raymond Msanii kutoka Tiptop Connection nae alikuwepo kutoa sapoti kwa Yamoto Band.

IMG_9221

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani