New Music: AY — Zigo ( Dj Jors Bless Remix)
Wakati ambapo mashabiki wanasubiria kwa hamu video ya hit ya AY, Zigo, DJ Jors Bless wa Times FM ametuletea remix ya hip hop ya ngoma hiyo. Isikilize hapo chini. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo512 Oct
New Music: Jors Bless — A Moment
9 years ago
Bongo518 Dec
New Video: Jors Bless – Hello (Adele cover )
![Jors Bless](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Jors-Bless-300x194.jpg)
Video ya producer na muimbaji wa R&B, Jors Bless akiimba wimbo wa Adele, Hello.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo527 Oct
Tazama video ya mashairi ya wimbo wa Jors Bless ‘A Moment’
9 years ago
Bongo516 Dec
Audio: Jors Bless afanya cover ya ‘Hello’ ya Adele, ni noma
![hello cover](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/hello-cover-300x194.jpg)
Zimetoka cover maelfu za wimbo wa Adele, Hello. Jors Bless anakuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania kufanya cover yake. Isikilize hapo chini.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo516 Dec
AY na Diamond waungana kwenye remix ya Zigo
![12345912_1111893075502144_366327264_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12345912_1111893075502144_366327264_n-300x194.jpg)
Siku hizi watu wanafanya mambo kimya kimya! Inaonekana kuwa AY amemjumuisha Diamond Platnumz kwenye remix ya hit single yake, Zigo na tayari wanafanya video nchini Afrika Kusini.
AY na Diamond hawajasema kitu. Lakini kampuni inayotengeneza video yake imeumwaga ubuyu kwenye Instagram. Kampuni hiyo iitwayo Studio Space Pictures ya Afrika Kusini, imeweka picha hiyo juu ya wakali hao na kuandika: Earlier today with @aytanzania @ @diamondplatnumz #ZigoRemix #studiospacepictures.”
Haijulikani...
11 years ago
Bongo506 Jul
New Music: G-Unit — ‘Loyal (Remix)’
9 years ago
Bongo520 Oct
Music: Kanye West — When I See It’ + ‘Say You Will (Remix)
9 years ago
Bongo521 Oct
Music: Trina — Hotline Bling (Remix)