New Music: Eddy Kenzo releases victory song ‘Very good’ after winning BET Award
When you work really hard at something for a long time, it is worthy to celebrate the achievement, right? And that is exactly what Bet Award winner Eddy Kenzo from Uganda did. Eddy Kenzo (left) To prove to the world that the Uganda’s first ever bet award he won makes him a champion, Eddy Kenzo […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo529 Sep
Video: Eddy Kenzo releases new music video — ‘Freestyle’
10 years ago
GPL
MSHINDI WA TUZO YA BET, EDDY KENZO ALIVYOPOKELEWA KWA SHANGWE NCHINI UGANDA
10 years ago
Bongo529 Jun
Photos: The 1 billion mansion that BET winner Ugandan Eddy Kenzo acquired recently
10 years ago
Bongo510 Jul
Eddy Kenzo aeleza sababu za kwanini BET walimkabidhi tuzo yake kwenye Red Carpert
10 years ago
Bongo521 Jul
Video: Tom Close (Rwanda) releases new video ‘Zero Distance’ ft. Eddy Kenzo
11 years ago
VijimamboAWARD WINNING TANZANIAN FASHION DESIGNER LINDA BEZUIDENHOUT DRESSES REIGNDROP LOPES AT THE LISA "LEFT EYE" MUSIC FEST ON SAT SEPT 20 2014
9 years ago
Bongo521 Dec
Video: Eddy Kenzo – Soraye

Staa kutoka Nchini Uganda Eddy Kenzo ametoa video mpya ya wimbo wake “Soraye”, wimbo huu upo kwenye album yake ya “Zero To Hero”. Video imetayarishwa na Patrick Elis.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Vijimambo
9 years ago
Bongo Movies02 Jan
Shilole, Eddy Kenzo wa Uganda Penzi Jipya
Kwa sasa ni dhahiri kabisa penzi la Shilole na Nuh Mziwanda limefika mwisho baada Shishi kumtambulisha mpenzi wake mpya msanii,Eddy Kenzo kutoka nchini Uganda.
‘’Nuh hanipendi Eddy Kenzo ndio ananipenda,ameniimbia wimbo nilikuwa sijui,naomba mjue kuwa ndiye mchumba wangu mpya,’’Alisema Shilole.
‘’Eddy Kenzo amenipenda tangu zamani lakini nilikuwa nikimpuuzia tu maskini ameonyesha upendo wake kwangu hadi kaimba wimbo kwa ajili yangu unajua sio kitu kidogo msanii mkubwa Afrika kuniimbia wimbo...