New Video: Asia — Leo
Asia aliyewahi kufanya vizuri na wimbo ‘Mtoto wa Mjini’ Asia Mjuni ameachia video ya wimbo wake ‘Leo’. Wimbo umetayarishwa na C9 Kanjenje na video kuongozwa na Kwetu Studio.
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo523 Jul
Picha: Utengenezaji wa video mpya ya Asia ‘Leo’
Msanii wa muziki, Asia aliyetamba na wimbo ‘Mtoto wa Mjini’ anatarajia kuachia video ya wimbo wake mpya ‘Leo’ iliyoongozwa na kutayarishwa na kampuni ya Kwetu Studio. Tamaza picha za utengenezaji wa video hiyo.
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/c85r_A0DfgE/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/COuBerJSzPw/default.jpg)
New VIDEO | Isaya - Asia
Singer Name:- Isaya
Song Name:- Asia
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour
Director:- I'Com Papir & Saimako
10 years ago
Bongo508 Jun
New Video: Asia Mjuni — Nimetulia Nae
Video mpya ya msanii Asia Mjuni wimbo unaitwa “Nimetulia Nae” video imeongozwa na Kwetu Studio Related Tags:
10 years ago
GPL09 Jun
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/77554000/jpg/_77554994_hat1920.jpg)
VIDEO: Mauritian tourist trade targets Asia
Since the economic slowdown, the tourism industry in Mauritius is looking beyond Europe and towards new markets such as Asia.
11 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Asia Idorous kufunga pazia Swahili Fashion Week leo
p>MBUNIFU mkongwe wa mitindo na mavazi nchini, Asia Idarous Khamsin, anatarajiwa kufunga pazia la maonesho ya sita ya Swahili Fashion Week – SFW 2013, katika hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-jCmE7Ld3CWI/VHjsdzfFwTI/AAAAAAAG0EA/tBaJpH53w5Y/s72-c/KHANGA%2BPARTY%2BA3.jpg)
ASIA IDAROUS KHAMSIN ANAKULETEA RED CARPET NA USIKU WA KHANGA PARTY LEO SAFARI CARNIVAL
![](http://4.bp.blogspot.com/-jCmE7Ld3CWI/VHjsdzfFwTI/AAAAAAAG0EA/tBaJpH53w5Y/s1600/KHANGA%2BPARTY%2BA3.jpg)
Na Andrew Chale
USIKU maalum wa kuenzi vazi la Khanga na magwiji wa taarab nchini 'Usiku wa Khanga Party na Spice Modern Taarab' unapotarajia kulindima usiku wa leo Novemba 29 ndani ya Ukumbi wa Safari Carnival, Mikocheni B, karibu na daraja la Kawe, na kusindikizwa na gwiji wa mipasho Khadija Kopa pamoja na Bilal Mashauzi. Kwa mujibu wa Mama wa Mitindo Bi. Asia Idarous Khamsin amebainisha kuwa kwa ushirikiano wa Fabak Fashions na Safari Carnival wameandaa usiku huo maalum kuenzi vazi la...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania