Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Hemed PHD — Far Away

Video mpya ya msanii Hemed PHD wimbo unaitwa “Far Away” video imeongozwa na Msafiri Shabani kutoka kampuni ya Kwetu Studio

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo Movies

Hemed PHD Ampa Shavu Mr Blue

Akiwa anafanya vyema na wimbo wake 'Imebaki Story' msanii wa muziki ambaye pia ni muigizaji nyota wa filamu wa nchini Tanzania Hemed PHD hivi sasa ameamua kumpa shavu msanii Mr Blue katika ngoma mpya inayosukwa hivi karibuni.

Hemedi ameongea na eNewz na kusema kuwa anamfagilia sana mkali huyo na hivi sasa atashiriki naye katika wimbo mpya unaoitwa 'Someday' ambao upo jikoni, huku akielezea zaidi mipango yake katika muziki kwa sasa kutokana na kujitegemea yeye binafsi katika kukuza kazi zake...

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF ASHIRIKI MAZISHI YA HEMED SALUM HEMED

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akishiriki katika mazishi ya Hemed Salum Hemed (38) mkaazi wa Kinuni Zanzibar aliyefariki katika ajali ya barabarani wakati akitoka mkutanoni Makunduchi. Mazishi hayo yamefanyika Msikiti Ngamia, Kilimahewa.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akishiriki katika mazishi ya Hemed Salum Hemed (38) mkaazi wa Kinuni Zanzibar...

 

5 years ago

Michuzi

MAWAIDHA YA SWAUMU NA AL MARHUM MUFTI SHEIK HEMED BIN JUMAA BIN HEMED


issamichuzi · MAWAIDHA YA SHEIKH HEMED BIN JUMAA BIN HEMED

 

10 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: IMEBAKI STORY - HEMEDY PHD







Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports, Entertainment as well as Technology tips and some Amazing Facts. We also provide Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Hemedy PHD asema hana mpango wa kufanya video nje ya nchi

Hemedy PHD ni miongoni mwa wasanii wanaowekeza katika kufanya video nzuri lakini kwa kutumia watayarishaji, waongozaji na maeneo ya wa hapa hapa nyumbani Tanzania. Msanii huyo wa muziki na filamu amesema kuwa hana mpango wa kwenda kushoot video za nyimbo zake nje ya nchi kama wafanyavyo baadhi ya wasanii wengine. Staa huyo ambaye ameachia wimbo […]

 

10 years ago

Bongo5

Usichokifahamu kuhusiana na jinsi video ya ‘Imebaki Story’ ya Hemedy PHD ilivyotengenezwa

Umeitazama video ya wimbo mpya wa Hemedy PHD? Wimbo wake ‘Imebaki Story’ ni nzuri sana na kinachofurahisha zaidi imefanywa na waongozaji wa video wa Tanzania. Video hii imefanywa na kampuni ya Kwetu Studios na kuhaririwa na muongozaji mkongwe wa video, Adam Juma. Ukitaka kuuonesha uzuri wa Tanzania kwa mataifa ya nje, sidhani kama maghorofa au […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani