Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hemed PHD Ampa Shavu Mr Blue

Akiwa anafanya vyema na wimbo wake 'Imebaki Story' msanii wa muziki ambaye pia ni muigizaji nyota wa filamu wa nchini Tanzania Hemed PHD hivi sasa ameamua kumpa shavu msanii Mr Blue katika ngoma mpya inayosukwa hivi karibuni.

Hemedi ameongea na eNewz na kusema kuwa anamfagilia sana mkali huyo na hivi sasa atashiriki naye katika wimbo mpya unaoitwa 'Someday' ambao upo jikoni, huku akielezea zaidi mipango yake katika muziki kwa sasa kutokana na kujitegemea yeye binafsi katika kukuza kazi zake...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Video: Hemed PHD — Far Away

Video mpya ya msanii Hemed PHD wimbo unaitwa “Far Away” video imeongozwa na Msafiri Shabani kutoka kampuni ya Kwetu Studio

 

9 years ago

Bongo5

New Music: Hemedy PHD F/ Mr Blue – Someday

20151204042756

Hemedy PHD ameachia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Mr Blue. Ngoma inaitwa Someday. Kwenye wimbo huu Hemedy anamuimbia msichana ambaye haoneshi kumpa heshima anayostahili na kumchukulia pia.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: HEMEDY PHD - SOMEDAY ft. MR.BLUE (Download)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Bongo5

Alicia Keyz ampa shavu Wizkid la kutumbuiza kwenye hafla yake ya ‘Keep a Child Alive’

Miezi miwili iliyopita Mastaa wa Marekani wakiwemo, Alicia Keyz na mume wake Swizz Beatz walipost kwenye mitandao video waki enjoy wimbo wa Wizkid ‘Ojuelegba’ ikiwa ni ishara kuwa wameukubali na kumkubali mwimbaji pia. Sasa Alicia Keyz amempa shavu staa huyo wa Nigeria, Wizkid kutumbuiza kwenye hafla ya kampeni yake ya ‘Keep a Child Alive ’ […]

 

10 years ago

Bongo5

Diamond ampa shavu msanii wa ‘Barua kwa Diamond’ Meda

Jitihada za msanii wa Iringa, Meda zimezaa matunda. Msanii huyo ambaye wimbo wake ‘Barua kwa Diamond’ umepata mapokezi mazuri, amepongezwa na Diamond Platnumz ambaye ameisikia barua hiyo. “Kiukweli simfahamu… Sijawai hata kumuona, Wala kuzungumza nae…..na sio kwasababu Eti kaniimba mimi, hapana!… ila ni userious na uzuri wa kazi aliyoifanya ndio vimenifanya nione ni vizuri kumleta […]

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF ASHIRIKI MAZISHI YA HEMED SALUM HEMED

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akishiriki katika mazishi ya Hemed Salum Hemed (38) mkaazi wa Kinuni Zanzibar aliyefariki katika ajali ya barabarani wakati akitoka mkutanoni Makunduchi. Mazishi hayo yamefanyika Msikiti Ngamia, Kilimahewa.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Katibu Mkuu wa CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akishiriki katika mazishi ya Hemed Salum Hemed (38) mkaazi wa Kinuni Zanzibar...

 

5 years ago

Michuzi

MAWAIDHA YA SWAUMU NA AL MARHUM MUFTI SHEIK HEMED BIN JUMAA BIN HEMED


issamichuzi · MAWAIDHA YA SHEIKH HEMED BIN JUMAA BIN HEMED

 

9 years ago

Bongo Movies

Wastara Ampa Ampa Kichapo Bondi

KAZI ipo! Staa wa sinema za Kibongo, Wastara Juma anadaiwa kumpa kichapo kikali aliyekuwa mwandani wake, Bond Suleiman baada ya kupatwa na kile kinachosemwa kuwa ni kupandisha majini.

Kwa mujibu wa chanzo chetu, kupandisha majini hayo kulitokana na jinsi ambavyo mwanaume huyo amekuwa akimtendea mpenziwe huyo, ambaye inadaiwa katika kupandisha huko, alitoa maelekezo ya namna anavyotakiwa kufanya.

“Nakuambia ilikuwa varangati siku hiyo, Wastara alipandisha majini akiwa na Bond, walikuwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani