Alicia Keyz ampa shavu Wizkid la kutumbuiza kwenye hafla yake ya ‘Keep a Child Alive’
Miezi miwili iliyopita Mastaa wa Marekani wakiwemo, Alicia Keyz na mume wake Swizz Beatz walipost kwenye mitandao video waki enjoy wimbo wa Wizkid ‘Ojuelegba’ ikiwa ni ishara kuwa wameukubali na kumkubali mwimbaji pia. Sasa Alicia Keyz amempa shavu staa huyo wa Nigeria, Wizkid kutumbuiza kwenye hafla ya kampeni yake ya ‘Keep a Child Alive ’ […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo503 Nov
Baada ya kuonesha kumkubali Wizkid, Alicia Keys kumshirikisha kwenye wimbo wake
![Alicia n Wizkid](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Alicia-n-Wizkid-94x94.jpg)
10 years ago
Bongo512 Nov
Dj Tass wa Magic Fm apata shavu la kutumbuiza kwenye Big Brother Africa Hotshots Ijumaa hii
9 years ago
Bongo530 Sep
Vanessa Mdee kutumbuiza jukwaa moja na mastaa wa Afrika akiwemo Wizkid, Davido, AKA, K.O kwenye tamasha la ‘AMC 2015′ Afrika Kusini
9 years ago
Bongo Movies25 Aug
Hemed PHD Ampa Shavu Mr Blue
Akiwa anafanya vyema na wimbo wake 'Imebaki Story' msanii wa muziki ambaye pia ni muigizaji nyota wa filamu wa nchini Tanzania Hemed PHD hivi sasa ameamua kumpa shavu msanii Mr Blue katika ngoma mpya inayosukwa hivi karibuni.
Hemedi ameongea na eNewz na kusema kuwa anamfagilia sana mkali huyo na hivi sasa atashiriki naye katika wimbo mpya unaoitwa 'Someday' ambao upo jikoni, huku akielezea zaidi mipango yake katika muziki kwa sasa kutokana na kujitegemea yeye binafsi katika kukuza kazi zake...
10 years ago
Bongo504 Nov
Ben Pol asimulia ‘aibu’ aliyoipata kwenye show yake ya kwanza kutumbuiza!
10 years ago
Bongo516 Oct
Video: Hawa ndio New Boyz, waliompa shavu AY kwenye video yake na Sean Kingston
9 years ago
Bongo512 Oct
Wizkid kutumbuiza Dar mwezi huu
9 years ago
Bongo504 Nov
Vanessa Mdee, Wizkid, Davido, AKA, Flavour na wengine kutumbuiza South Nov 21
![11379892_931151246960569_1101213556_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/11379892_931151246960569_1101213556_n-300x194.jpg)
Vanessa Mdee aka Vee Money anatarajia kutumbuiza wimbo wake mpya ‘Never Ever’ na zingine kwenye jukwaa kubwa zaidi la muziki wa Afrika jijini Johannesburg, Afrika Kusini, Nov 21.
Tamasha hilo lililopewa jina la African Music Concert litawakutanisha karibu wasanii wote wakubwa wa Afrika.
Pamoja na Vanessa Mdee, wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Wizkid, Davido, Uhuru, A.K.A, K.O, RunTown, Victoria Kimani, Dama do bling na Bucie.
Wengine ni Da LES, Darley, Anatii, Emmy Gee, The...
9 years ago
Bongo526 Nov
Video: Alicia Keys na Jussie Smollett (Jamal) wakiimba ‘Powerful’ kwenye ‘Empire’
![alicia-keys-press-2014-billboard-650-c](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/alicia-keys-press-2014-billboard-650-c-300x194.jpg)
Alicia Keys na Jussie Smollett maarufu kama Jamal kwenye tamthilia ya Empire wamekutana kwenye tamthilia hiyo na kuimba wimbo “Powerful.”
Keys ameigiza kwa jina la Skye Summers.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!