New Video: Ruby Band ~ Noma
Video mpya kutoka kwa Ruby Band wimbo unaitwa “Noma” Video imeongozwa na Rashidi Mrutu
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo507 Mar
Picha: Ruby Band yatambulishwa rasmi na kuzindua video mpya
Bendi mpya ya vijana wanne, Ruby Band, imezinduliwa rasmi jana pamoja na kutambulishwa kwa video ya wimbo wao mpya ‘Noma’ ndani ya ukumbi wa Coco Beach jijini Dar es Salaam. Vijana wa Ruby Band wakifanya yao Akizungumza na waandishi wa habari, msemaji wa bendi hiyo, Deogratius Shija alisema anawaomba wadau na mashabiki wa muziki kuwapokea […]
11 years ago
Dewji Blog30 Oct
9 years ago
Bongo522 Dec
Music: Ruby Band – Mke Wangu

Wimbo mpya kutoka kwa Ruby Band unaitwa “Mke Wangu”, Studio Chaidaz Records Producer Abdy Dady
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Africanjam.Com
10 years ago
GPL20 May
10 years ago
GPL16 May
11 years ago
GPL
FIESTA 2014: KAMA NOMA NA IWE NOMA!
Stori: Waandishi Wetu Kama noma na iwe noma! Tamasha la Serengeti Fiesta 2014, wikiendi iliyopita lilifunga mitaa ya Jiji la Dar na viunga vyake ambapo burudani ya kufa mtu ilidondoshwa kwenye Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar na kugubikwa na matukio kibao nyuma ya pazia, likiwemo la msanii kutoka Nigeria, Davido ‘kupafomu’ pamoja na serikali kumkataza, Ijumaa Wikienda lina ripoti kamili.… ...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania