New Audio: Ruby Band ~ Kisebusebu
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo511 Mar
New Video: Ruby Band ~ Noma
9 years ago
Bongo522 Dec
Music: Ruby Band – Mke Wangu

Wimbo mpya kutoka kwa Ruby Band unaitwa “Mke Wangu”, Studio Chaidaz Records Producer Abdy Dady
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
MillardAyo28 Dec
Kibao kilivyomgeukia Soudy Brown kwenye U Heard, leo ni yeye na Ruby.. (+Audio)
Musa Hussein leo kaikamata U Heard, na kibao kimegeuka pia mtu wangu !! Kama ulivyozoea Soudy Brown anavyowabana wengine kuhusu stori za chinichini leo kageuziwa kibao, ishu ni yeye na Ruby. Musa kamcheki Soudy Brown na kuanza kumhoji kuhusu tetesi za jamaa kuwa na uhusiano na Ruby… Soudy kakataa kabisa yani kuhusu hiyo ishu japo […]
The post Kibao kilivyomgeukia Soudy Brown kwenye U Heard, leo ni yeye na Ruby.. (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
Bongo507 Mar
Picha: Ruby Band yatambulishwa rasmi na kuzindua video mpya
11 years ago
Bongo524 Jul
New Video/Audio: Skylight Band — Pasua Twende
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Ni muda wa kuwasikiliza Yamoto Band kwenye single yao mpya….-‘Mama’ (+Audio)
Watoto kutoka kwenye familia ya Mkubwa na Wanawe TMK time hii wametusogezea single yao mpya iitwayo Mama wamemshirikisha Zena. Nakukaribisha kwenye link hii mtu wangu, unaweza kuisikiliza kwenye link ya Mkito >>> Mama Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK […]
The post Ni muda wa kuwasikiliza Yamoto Band kwenye single yao mpya….-‘Mama’ (+Audio) appeared first on...
11 years ago
Dewji Blog29 Apr
Skylight Band na Bodaboda Band ya Kidumu yatikisa jiji la Dar Escape One
Skylight Band wakikamua jukwaani..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba na Sam Mapenzi kwenye show maalum ya uzinduzi wa Video yao mpya ya “Kariakoo” uliosoindikizwa na Bodaboda Band ya msanii Kidumu kutoka jijini Nairobi uliofanyika kwenye kiota cha Escape One.
Mrembo Neema Mbuya alikuwepo kuwahudumia wageni 100 wa kwanza na Tequila shots.
wageni wakihudumiwa Tequila shots!
Divas wa Skylight Band wakiongozwa na Aneth Kushaba AK47 kutoa burudani kwa...