Kibao kilivyomgeukia Soudy Brown kwenye U Heard, leo ni yeye na Ruby.. (+Audio)
Musa Hussein leo kaikamata U Heard, na kibao kimegeuka pia mtu wangu !! Kama ulivyozoea Soudy Brown anavyowabana wengine kuhusu stori za chinichini leo kageuziwa kibao, ishu ni yeye na Ruby. Musa kamcheki Soudy Brown na kuanza kumhoji kuhusu tetesi za jamaa kuwa na uhusiano na Ruby… Soudy kakataa kabisa yani kuhusu hiyo ishu japo […]
The post Kibao kilivyomgeukia Soudy Brown kwenye U Heard, leo ni yeye na Ruby.. (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
MillardAyo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo531 Jul
Exclusive Audio: Diamond akirap kwenye beat ya ‘Show Me’ (Kid Ink f/ Chris Brown)
11 years ago
Dewji Blog30 Oct
10 years ago
Michuzi
MSHINDI WA AIRTEL TRACE NALIMI MAYUNGA KUACHIA VIDEO YA KIBAO CHAKE CHA "NICE COUPLE" KWENYE CHANEL YA TRACE LEO.

Mshindi wa shindano la Airtel Trace Music Star Nalimi Mayunga ameachiakibao chake kipya cha " Nice Couple" video itakayorushwa kuanzia leokatika kituo cha DSTV chanel ya Trace Urban 325
MWANZONI mwa mwezi huu, Mshindi huyo wa Airtel Trace Music star alituamjini Johannesburg South Afrika akitokea nchini Tanzania ili kuanzasafari yake kujiendeleza kimuziki na kufikia ndoto zake mara baada yakuibuka mshindi wa mashindano makubwa yaliyoshirikisha nchi 13 baraniAfrika yaliyofanyika tarehe 18...
11 years ago
Bongo505 Aug
Chris Brown adai kuwa Karrueche Tran hakumpiga chini bali yeye ndiye amempiga kibuti, zifahamu sababu
9 years ago
MillardAyo17 Dec
Chris Brown anaisogeza ‘Little More’ single special kwajili ya mwanae Royalty – (Audio)!
Baada ya kuisogeza kwetu Anyway, Chris Brown amerudi tena na nyingine mpya! Wimbo unaitwa ‘Little More (Royalty)’ na ni single special kwajili ya mwanae wa mwaka mmoja na nusu, Royalty. Ndani ya wimbo huu Chris Brown anasikika akiimba maneno haya… “Even though I’m a man girl, you’ra makin’ me feel like a baby/ Oh girl […]
The post Chris Brown anaisogeza ‘Little More’ single special kwajili ya mwanae Royalty – (Audio)! appeared first on...
10 years ago
Bongo519 Oct
Video: Tazama Interview ya Ruby kwenye The Playlist ya Times FM (hosted by Lil Ommy)
10 years ago
Vijimambo