Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Tazama Interview ya Ruby kwenye The Playlist ya Times FM (hosted by Lil Ommy)

Mtangazaji wa Times FM, Lil Ommy ameachia kipindi chake cha The Playlist alichofanya na msanii wa kike, Ruby kwenye mtandao wa YouTube ili mashabiki waweze kuona na kusikia kilichojiri kwenye show hiyo. Ruby alizungumzia ujio wa album yake, Vanessa Mdee, collabo na Christian Bella na mambo mengine kibao. Kwa taarifa zaidi unaweza kumfollow @LilOmmy kwenye […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama Interview ya AY kwenye The Playlist ya Times Fm

Tazama mahojiano ya Ambwene Yessaya a.k.a AY na mtangazaji Lil Ommy katika kipindi cha The Playlist cha Times Fm. AY alizungumzia mambo mengi kuhusu maisha yake, muziki wake na ndoto zake. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Tazama interview ya Izzo B kwenye The Playlist ya Times FM

12070822_896813407061700_1815623839_n

Mtangazaji wa Times FM, Lil Ommy ameendelea ku-upload interviews anavyofanya na mastaa kwenye kipindi chake cha The Playlist ambacho kinawashusha mastaa ndani ya studio za 100.5 Times FM kila Jumapili Saa 10 – 12 jioni, wakichagua nyimbo tano wanazopenda na kuwahoji mambo muhimu kuhusu mtindo wa maisha, fashion na burudani.

Izzo B alizungumza mambo mengi muhimu kuhusu muziki wake, Ngwair, Suma Lee, Sugu, Master Jay, Marco Chali, Nah Reel, Wema Sepetu, Jokate, Kajala, Vaneesa Mdee, Quick...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Lil Ommy wa Times FM afanya ziara kwenye redio za Afrika Kusini, aeleza alichojifunza

de98d706-c2ab-4594-bc30-a595db645200

Mtangazaji wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, Lil Ommy yupo jijini Johannesburg alikoenda kwenye ziara maalum kujifunza mambo yanayohusiana na redio.

de98d706-c2ab-4594-bc30-a595db645200

Akiwa huko amezunguka kwenye vituo mbalimbali vya redio na TV vikiwemo vituo vya SABC. Amesema amejifunza mambo mengi kwenye redio na muziki.

d6e355e6-3787-4794-9057-bc71d7af53f0

“Jamaa wana promote zaidi muziki wao na lugha yao kwenye redio wanachanganya Zulu, wanapenda kujifunza Kiswahili, wanaichukulia kama lugha kubwa ya bara la Afrika ukiachana na Kiingereza kuwa...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Utapenda jinsi Idris Sultan alivyofunguka kwenye The Playlist ya Times FM

12331712_916817315061266_1260372400_n

Idris Sultan mtu mwenye maneno mengi. Msikie zaidi jinsi alivyofunguka kwenye kipindi cha The Playlist cha Times FM kinachoendeshwa na Lil Ommy.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

11 years ago

GPL

MISS IFM 2014 KUFUNGUKA NDANI YA THE PLAYLIST YA TIMES FM JUMAPILI HII

Kipindi cha The Playlist cha 100.5 Times Fm kinachoongozwa na Omary Tambwe aka Lil Ommy, Jumapili hii kitamdondosha mrembo aliyeshinda taji la Miss IFM 2014, Lilian Timoth. Akiwa kama mrembo ambaye amepata nafasi ya kuingia kwenye orodha ya celebs wa Tanzania katika tasnia ya ulimbwende, Lilian atazicheza nyimbo tano kali anazozipenda zaidi huku akijibu maswali ya kichokozi yanayomhusu. The Playlist inakuwa hewani kila Jumapili...

 

11 years ago

GPL

MISS IFM 2014 KUFUNGUKA NDANI YA THE PLAYLIST YA TIMES FM JUMAPILI HII‏

Miss IFM 2014, Lilian Timoth. KIPINDI cha The Playlist cha 100.5 Times Fm kinachoongozwa na Omary Tambwe aka Lil Ommy, Jumapili hii kitamdondosha mrembo aliyeshinda taji la Miss IFM 2014, Lilian Timoth. Akiwa kama mrembo ambaye amepata nafasi ya kuingia kwenye orodha ya celebs wa Tanzania katika tasnia ya ulimbwende, Lilian atazicheza nyimbo tano kali anazozipenda zaidi huku akijibu maswali ya kichokozi yanayomhusu. The Playlist...

 

11 years ago

GPL

MIRROR WA ENDLESS FAME KUFANYA YAKE NDANI YA THE PLAYLIST YA TIMES FM JUMAPILI HII

Mwimbaji wa Bongo Flava anaefanya kazi chini ya kampuni ya Endless Fame ya Wema Sepetu, Mirror aka Kioo atakuwa katika kipindi cha The Playlist cha 100.5 Times Fm Jumapili hii (June 1). Mkali huyo wa ‘Baby’ ambaye hivi sasa ameachia pini jipya alilolibatiza jina la ‘Kolokolo’ atazicheza ngoma tano kali anazozipenda zaidi na kuzielezea, pia atajibu maswali ya kichokozi yaliyonyooshwa na rula ya Omary...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani