Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: SaRaha — Shemeji

Video mpya kutoka kwa msanii Saraha wimbo unaitwa “Shemeji” video imefanywa na The Dream Studio

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ALIYEVUJISHA VIDEO YA JAY Z AKIPIGWA NA SHEMEJI YAKE ATIMULIWA KAZI, ALILAMBA MIL 412 KUTOKA TMZ

Solange (mbele kulia) baada ya kumpa kichapo shemeji yake Jay Z (wa tatu kushoto). JAMAA aliyevujisha video ikionyesha staa Jay Z akipigwa na shemeji yake Solange ametimuliwa kazi. Hoteli ya New York Standard  imeamua kusitisha mkataba wa jamaa huyo mara moja baada ya kuvunja sheria za usalama za hoteli hiyo kwa kuvujisha tukio nyeti kama hilo. Jamaa huyo anadaiwa kuwauzia TMZ kipande hicho cha video kwa dola 250,000 sawa na...

 

10 years ago

GPL

DAH SHEMEJI FAIZA, UNATUANGUSHA!

MIAKA mitatu iliyopita nilimuona kwa mara ya kwanza huyu dada anayeitwa Faiza Ally, hotelini De France, pale Sinza jijini Dar es Salaam. Aliyenikutanisha naye ni Joseph Mbilinyi, Mbunge wa Mbeya Mjini kupitia Chadema. Mbilinyi, mkongwe wa Hip Hop aliye miongoni mwa alama za Bongo Fleva, ambaye wengi tunamfahamu zaidi kama Sugu, ni mmoja kati ya mastaa niliopata kuwa nao karibu, hata baada ya kazi. Alinitambulisha kwake kama...

 

10 years ago

GPL

WEMA AMTUSI SHEMEJI WA ZARI

Stori: Imelda Mtema/Mchanganyiko KIMENUKA! Beautiful Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga, Risasi Mchanganyiko linakupa mchapo kamili. Beautiful Onyinye, Wema Sepetu… ...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Shemeji’ aeleza jinsi Mbasha alivyombaka

Shahidi wa kwanza katika kesi ya kubaka inayomkabili mwimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, ameieleza mahakama jinsi mshtakiwa alivyomkaba shingo na kumziba mdomo kwa kutumia nguo, kisha kumbaka.

 

11 years ago

GPL

JAY-Z APIGWA NA SHEMEJI YAKE, LOL!

S olange ambaye ni dada wa Beyonce anayedaiwa kumvamia shemeji yake, Jay-Z.…

 

10 years ago

Mtanzania

Daktari: Mbasha hakubaka shemeji yake

Emmanuel Mbasha

Emmanuel Mbasha

Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
VIPIMO vya kimaabara alivyofanyiwa binti wa miaka 17 ambaye anadaiwa kubakwa na mfanyabiashara na mwimbaji wa muziki wa injili, Emmanuel Mbasha, havijaonyesha kama alifanyiwa kitendo hicho.
Ushahidi huo umetolewa jana na daktari Migole Mtuka wa Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala.
Mbele ya Hakimu Flora Mjaya, Dk. Mtuka alisema Mei 26, mwaka jana, binti huyo – ndugu wa mwimbaji wa nyimbo za injili, Flora...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Msaga Suma – Unanitega Shemeji

mqdefault

Msanii ambaye nyimbo zake zina fanya vizuri sana mitaa ya uswahilini anaitwa Msaga Sumu ameachiwa wimbo mpya unaitwa “Unanitega Shemeji”.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani