Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Victoria Kimani — Show

Muimbaji wa Chocolate City,Mkenya Victoria Kimani naye amedondosha video ya wimbo wake ‘Show’. Kwenye video hiyo rapper wa Afrika Kusini, AKA naye anaonekana. Icheki.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Victoria Kimani — Show

Chocolate City’s raving East African songstress Victoria Kimani releases her newest single Show produced by prolific Made Men Music group producer Tekno Miles.

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Victoria kimani aachia video ya ‘Prokoto’ aliyoshoot Tanzania na kuwashirikisha Diamond na Dimpoz

Mwimbaji wa Kenya, Victoria Kimani ameachia video yake mpya ya ‘Prokoto’ aliyowashirikisha mastaa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na Ommy Dimpoz. Victoria ambaye pia yuko chini ya label ya Chocolate City ya Nigeria wiki chache zilizopita alimleta director wa Kenya, Kevin Bosco Jr na kushoot ‘Prokoto’ katika mazingira ya Dar es salaam. Audio imefanywa na […]

 

9 years ago

Bongo5

Video: Victoria Kimani — Booty Bounce

East-African music diva, Victoria Kimani has released the video for her new single “Booty Bounce”. Produced by super-talented beat maker, Reinhard.

Victoria Kimani, who has previously released chart-topping singles like ‘Show’, ‘Two Of Dem’,‘Prokoto’ featuring Diamond Platnumz & Ommy Dimpoz, ‘Oya’ featuring M.I and a few others, is rapidly making her way to the top of the pick and set to break barriers with the release of ‘Booty Bounce’ that has already been termed a ‘game changer’ by...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Victoria Kimani Ft Khuli Chana – All The Way

late

Msanii kutoka Kenya Victoria Kimani ameufungua mwaka 2016 kwa kuachia Video mpya ya single “All The Way” akiwa amemshirikisha msanii Khuli Chana.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Bongo5

Wizkid na Victoria Kimani washoot video Kenya na Enos Olik

Staa wa Nigeria Wizkid amekuwepo Afrika Mashariki kwa takribani wiki moja. Alianzia jijini Nairobi Kenya ambapo Jumapili iliyopita alitumbuiza kwenye viwanja vya The Carnivore, na baadae kuelekea jijini Kampala Uganda ambako alitumbuiza kwenye Party ya Guiness na kisha akarudi tena Kenya ambako imefahamika alirudi kushoot video. Victoria Kimani (kushoto) Wizkid (Kulia) Staa huyo wa ‘If […]

 

9 years ago

Bongo5

BTS: Video mpya ya Victoria Kimani ‘Booty Bounce’ itakuwa hatari tupu!

booty bounce-3Mwimbaji wa Kenya ambaye yuko chini ya label ya Chocolate City ya Nigeria, Victoria Kimani anajiandaa kuachia wimbo wake mpya ambao video yake ina kila dalili ya kuja ku-break the Internet! Jina la wimbo huo, ‘BOOTY BOUNCE’ linatosha kutoa picha halisi ya kile kitachakuwemo kwenye video yenyewe. Pia cover za mitego za ‘coming soon’ ambazo […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani