Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEWS ALERT: BIDHAA BORA ZA FELTRON ZIMEINGIA NCHINI RASMI

Jipatie bidhaa bora na halisi kwa ajili ya majumbani na maofisini kutoka kampuni ya Feltron ya Falme za Kiarabu. Kwa maelezo zaidi wasiliana na Wakala rasmi nchini:F- Zone (T) LtdSimu: +255 765 118 884web site: www.fzone.com

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BIDHAA BORA ZA FELTRON ZIMEINGIA NCHINI RASMI

Jipatie bidhaa bora na halisi kwa ajili ya majumbani na maofisini kutoka kampuni ya Feltron ya
Falme za Kiarabu.   Kwa maelezo zaidi wasiliana na Wakala rasmi…

 

10 years ago

GPL

UFUNGUZI WA DUKA LA F-ZONE T LTD LINALOSAMBAZA BIDHAA ZA FELTRON

Mmoja wa wahisani wa Kampuni ya Feltron (katikati), Bw. Dinesh Mithrani akikata utepe kama ishara ya uzinduzi rasmi wa duka hilo. ...Akiingia dukani humo muda mfupi baada ya uzinduzi huo.…

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wazidi kuwasili nchini

Waomba hifadhi kutoka nchini Burundi wakiwasili nchini kwa boti hivi sasa kwa boti mbili maeneo ya Kibilizi, Mkoani Kigoma. Bado idadi yao haijafahamika kwani bado zoezi la kuwaandikisha linaelea katika eneo hilo. Ujio wa waomba hifadhi hawa unakuja kutokana na machafuko yanayoendelea nchini humo ambayo yameshika kasi na kusababisha wananchi kuanza kukimbilia nchini Tanzania.Burundi ilikumbwa na machafuko katika miaka ya nyuma na baadaye kuwa na amani lakini sasa inaingia katika mgogoro tena...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: Serikali yasitisha matumizi ya Picha Rasmi ya Rais Magufuli

Serikali inapenda kuzitaarifu ofisi za umma  na  wananchi  kwa ujumla  kwamba  imesitisha    matumizi  ya  picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  wa Serikali ya Awamu ya Tano, Mhe.Dkt. John  Pombe Josep Magufuli mpaka hapo itakapotangazwa tena.


Awali   majira ya saa 6: 00 mchana leo Novemba 6, mwaka huu Serikali ilitangaza kuhusu kuanza rasmi kwa matumizi ya picha ya Rais.



Aidha,   Serikali  imesema kwamba  itazitangazia  ofisi hizo na umma wa Watanzania  kuhusu kuanza tena  kwa...

 

9 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE AONDOKA RASMI IKULU NA KUELEKEA KIJIJINI MSOGA LEO

 Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati wakiondoka rasmi katika jumba hilo waliloishi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa miaka 10 iliyopita na kurudi kijijini Msoga. kushoto kwake ni Rais wa awamu ya tano Dkt. John Pombe Joseph Magufuli  Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete  akiagana na watumishi wa Ofisi ya Rais Ikulu wakati akiondoka rasmi katika jumba hilo...

 

9 years ago

Dewji Blog

News Alert; Waziri Kigoda afariki dunia nchini India

kigoda

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mh Abdallah Kigoda (pichani) amefariki dunia jioni hii nchini India alikokuwa anapatiwa matibabu.

Taarifa za kifo cha Mh Kigoda ambaye pia alikuwa mbunge wa Handeni mkoani Tanga zimethibitishwa na ofisi ya Bunge jijini Dar es Salaam.

Mhe. Dkt. Kigoda alikwenda nchini India kwa matibabu tarehe 18 Septemba, 2015, kupata matibabu katika hospitali Hiyo ya Apollo. Taarifa zaidi kutolewa baadaye.

Modewji Blog inaungana na Familia ya Marehemu pamoja na Watanzania kwa...

 

11 years ago

Michuzi

NEWS ALERT:Matokeo ya Awali yasiyo rasmi kutoka vituo mbalimbali uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Kalenga.


TOSA no.1 
CCM 98 ,Chadema 20, CHAUSTA 0 Ipamba no2. CCM 104, Chadema 10,CHAUSTA 0 Isakulilo CCM 83,Chadema 8,CHAUSTA 0
Kilindi A CCM 69 ,Chadema 23, CHAUSTA 0 Ofisi ya Kijiji(Kilindi) CCM 117, Chadema 53, CHAUSTA0 Zahanati  CCM 117,Chadema 67, CHAUSTA 1 Ifunda Kivalali A CCM 99 Chadema 19 CHAUSTA 0 Kivalali B CCM 109 Chadema 14, CHAUSTA 1 Muwimbi CCM164, Chadema 22 CHAUSTA 0
Mahanzi CCM 130 Chadema 46 CHAUSTA 0 Ikungwe A CCM 131 Chadema 23 CHAUSTA 0 Ikungwe B CCM 216 Chadema 13 CHAUSTA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani