Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


news alert: mchekeshaji wa kimataifa toka nigeria basket mouth aja tanzania mwezi huu - watch this space!

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mchekeshaji wa Nigeria Basket Mouth kuwavunja mbavu Dar, Nov 28

Mchekeshaji maarufu kutoka Nigeria, Basket Mouth anatarajiwa kuzivunja mbavu za wakazi wa Dar es Salaam kwenye ‘End of Year Special’iliyoandaliwa na Evans Bukuku’s Comedy Club November 28. Show hiyo itafanyika kwenye hoteli ya Golden Tulip.

 

10 years ago

Michuzi

news alert: Mchekeshaji wa Kenya Mzee Ojwanga afariki dunia


Mwigizaji wa filamu za vichekesho wa Kenya Benson Wanjau maarufu kama Mzee Ojwang (pichani) amefariki dunia Jumapili jioni katika hospitali ya Taifa ya  Kenyatta National alikokuwa amelazwa kwa matibabu. Taarifa kutoka NAirobi zinasema alikuwa anaumwa "Nimonia" (Pneumonia). Marehemu Mzee Ojwang alijipatia umaarufu mkubwa Afrika Mashariki kwa vituko vyake kwenye filamu za Vitimbi, Vioja Mahakami, Vituko na  Kinyonga. Alikuwa haonekani kwa muda mrefu kwenye televisheni za Kenya na mashabiki...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu



Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam

Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014.

Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry  Fair’.

Akizungumzia ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mwezi mmoja toka mauaji ya Baga Nigeria

Leo ni mwezi mmoja tangu wapiganaji wa Boko Haram waliposhambulia miji ya Baga na Doron Baga kaskazini mashariki mwa Nigeria.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BANZA STONE AFARIKI DUNIA MCHANA HUU

Taarifa iliyotufikia chumba cha habari cha Globu ya Jamii hivi punde, inaeleza kuwa Mwanamuziki wa siku nyingi wa Muziki wa Dansi hapa nchini, Ramadhan Masanja "Banza Stone" amefariki dunia mchana huu nyumbani kwao Sinza karibu na Lion Hotel jijini Dar es salaam.
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA BAADAE KIDOGO.

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: MTI MKUBWA WAPIGA MWELEKA MCHANA HUU ENEO LA SEAVIEW

 Sehemu ya mashuhuda wa tukio la kuanguka mti mkubwa katika barabara ya Sea View,Upanga jijini Dar es Salaam.baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa chanzo cha kuanguka mti huo ni ukongwe wa mti huo. Sehemu ya magari yaliyoangukiwa na Mti huo mchana huu. Muonekano wa Mti huo. Mti huo ukiwa umeangukia ukuta. Baadhi ya wamiliki wa magari hayo wakijadiliana mara baada ya magari yao kuangukiwa na mti huo. hapo kwenye hiyo viti kuna watu walikuwa wamekaa lakini walinusurika.Hawa ndio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani