Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mchekeshaji wa Nigeria Basket Mouth kuwavunja mbavu Dar, Nov 28

Mchekeshaji maarufu kutoka Nigeria, Basket Mouth anatarajiwa kuzivunja mbavu za wakazi wa Dar es Salaam kwenye ‘End of Year Special’iliyoandaliwa na Evans Bukuku’s Comedy Club November 28. Show hiyo itafanyika kwenye hoteli ya Golden Tulip.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Comedian maarufu kutoka Uganda “Kansiime” kuwavunja mbavu Washington DMV ” Thanks Giving Friday ” Nov 27 !

HIVI KWANZA UNAANZAJE KUKOSA,HII ITAKUWA SOLD OUT  NUNUA TICKET ZAKO ONLINE BADO MAPEMA AU PIGA SIMU NAMBA 3016616207

 

10 years ago

Michuzi

four days to go before basket mouths it off in Dar es salaam

Only a four days remaining before Africa's King of Standup Comedy sets foot in Tanzania for the very first time!! It's a show NOT to be missed.

 

10 years ago

Vijimambo

DIAMOND PLATNUMZ LIVE NDANI YA WASHINGTON DMV / SHEREHE ZA UHURU DEC6 / NUNUA TICKET KABLA YA NOV 10 KWA $ 75 TU BAADA YA NOV 10 BEI ITAKUWA $ 100.

   
                                                  3 COURSE DINNER  &  LIVE SHOW
                                                                 FREE PARKING
                            TICKET  ZINAUZWA ONLINE TU.....BOFYA  HAPO CHINI
                                   WWW.DIAMONDUSATOUR.COM


                                 ...

 

9 years ago

GPL

PATORANKING NDANI YA DAR NOV. 27

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bronxy, Alma Salum akiwa na Finance Manager, Isaya Christopher wakiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani).
Alma Salum akiangalia kitu kwenye karatasi huku akizungumza na waandishi wa habari. Staa wa Ngoma ya My Woman My Everthing, Patrick Nnaemeka Okorie ‘Patoranking’.…

 

10 years ago

Vijimambo

ERIC OMONDI KUVUNJA MBAVU ZA WAKAZI DAR JUMAMOSI HII, KUSINDIKIZWA NA SARABI BAND, LEO MKANYIA NA GRACE MATATA

Mchekeshaji maarufu Eric Omondi na bendi ya muziki ya SARABI kutoka Kenya wataungana na wanamuziki wa Tanzania Grace Matata na Leo Mkanyia na bendi yake ya Swahilli Blues kukonga nyonyo za mashabiki wa muziki na vichekesho jijini Dar es Salaam wakati wa onyesho la muziki jumamosi wiki hii.Onyesho hilo ambalo limeandaliwa na CDEA:“Culture and Development East Africa” kwa kushirikiana na Nafasi Art Space litafanyika jumamosi ya tarehe moja mwezi wa nane mwaka huu, kuanzia saa moja jioni mpaka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani