Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGASA, ULIMWENGU, SAMATTA WAJIUNGA STARS

Wachezaji watatu wa kimataifa wa Tanzania wanacheza soka la kulipwa nje ya nchi, Mrisho Ngasa (Free State – Afrika Kusini) Thomas Ulimwengu na Mbwana Samatta (TP Mazembe – Congo DRC) wamejiunga na kambi ya Taifa Stars iliyopo katika hoteli ya Urban Rose – Kisutu jana jijini Dar es salaam.Kocha Mkuu wa Taifa Stars Charels Mkwasa amewapokea wachezaji hao na jana kufanya mazoezi pamoja na wachezaji waliokuwa kambini nchini Uturuki saa 10 jioni katika uwanja Taifa jijini Dar salaam.Kwa mujibu wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

ULIMWENGU, SAMATA WAJIUNGA STARS

Mbwana Samatta. Wachezaji Mbwana Samata na Thomas Ulimwengu wametua Dar es Salaam leo (Mei 17 mwaka huu) mchana, na kujiunga moja kwa moja kwenye kambi ya Taifa Stars kwa ajili ya michuano ya Afrika dhidi ya Zimbabwe (Mighty Warriors). Mechi hiyo ya kwanza ya raundi ya kwanza ya michuano hiyo itafanyika kesho (Mei 18 mwaka huu) Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Thomas Ulimwengu. Washambuliaji hao wa Taifa Stars wamewasili…...

 

9 years ago

Habarileo

Samatta, Ulimwengu waing’arisha Stars

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, jana ilitakata baada ya kuifunga Malawi `The Flames’ kwa mabao 2-0 katika mchezo wa kufuzu kwa fainali za Kombe la Dunia uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Samatta, Ulimwengu kuifuata Stars Dar

WASHAMBULIAJI mahiri wa Tanzania wanaoichezea TP Mazembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mbwana Ally Samatta na Thomas Ulimwengu wataungana na timu ya taifa jijini Dar es Salaam badala ya kwenda Afrika Kusini ambako imepiga kambi.

 

10 years ago

TheCitizen

Stars’ Samatta, Ulimwengu for Swaziland date

>National soccer team, Taifa Stars, have got a morale booster ahead of their international friendly against Swaziland on Sunday following the recovery of the two Tout Puissant (TP Mazembe) of Democratic Republic of Congo (DRC) strikers, Mbwana Samatta and Thomas Ulimwengu.

 

9 years ago

Habarileo

Taifa Stars yaondoka bila Samatta, Ulimwengu

Na Zena Chande KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars, Charles Mkwasa amesema anaamini kikosi chake kitaimarika zaidi kwa kambi ya siku 10 Afrika Kusini.

 

10 years ago

TheCitizen

Samatta, Ulimwengu to lead Stars’ Afcon charge

Dar es Salaam. Tanzanians’ hopes have been rekindled after it was confirmed yesterday that two sharp TP Mazembe strikers Mbwana Samatta and Thomas Ulimwengu, will join the National soccer team, Taifa Stars, as the side prepares ahead of the Africa Cup of Nations (Afcon) fixtures.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Ulimwengu, Samatta kiboko’

Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa amewapongeza washambuliaji wakeThomas Ulimwengu na Mbwana Samatta kwa kucheza vizuri licha ya kutopata muda wa kupumzika.

 

9 years ago

TheCitizen

Samatta, Ulimwengu, Ngassa out

Tanzanian TP Mazembe duo Mbwana Samatta and Thomas Ulimwengu as well as Mrisho Ngassa who ply his trade with South African Free State Stars have been left out of the Kilimanjaro Stars squad that will take part in the forthcoming Cecafa Senior Challenge Cup to be held in Ethiopia.

 

9 years ago

Mtanzania

Samatta, Ulimwengu wamdatisha Mfaransa

Samatta-UlimwenguNA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Algeria ‘The Desert Foxes’, Christian Gourcuff, ameukubali uwezo ulioonyeshwa na wachezaji wa Tanzania ‘Taifa Stars’ wakiwemo nyota wa kikosi hicho, Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu.

Kauli ya Mfaransa huyo imekuja baada ya Stars kutoa sare ya mabao 2-2 dhidi ya kikosi chake kwenye mchezo wa kufuzu Fainali za Kombe la Dunia 2018 nchini Urusi uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi.

Licha ya Samatta kufunga moja ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani