NGORONGORO HEROES YAIFUNGA KENYA KWA PENALT 4-3
![](http://2.bp.blogspot.com/-F22IsqR6gos/U10tCsUaj2I/AAAAAAAA-B0/_9xLhotqo3E/s72-c/d1.jpg)
Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Ally Bilali (kushoto), akimtoka beki wa Kenya, Geofrey Shivekwa katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wa kuwania kufuzu fainali za Afrika kwa vijana zitakazofanyika Senegal mwakani.Ngorongoro Heroes ilishinda kwa penalti 4-3.
Mshambuliaji wa Ngorongoro Heroes, Ally Bilali (kulia), akichuana na beki wa Kenya, Geofrey Shivekwa katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, wa kuwania kufuzu fainali za Afrika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi28 Apr
Ngorongoro Heroes kuivaa Kenya leo
11 years ago
Mwananchi11 May
Ngorongoro Heroes dimbani
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Ngorongoro Heroes waahidi ushindi
NAHODHA wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’, Aishi Manula, amesema wamejipanga kwa ajili ya kupata ushindi kwenye mechi dhidi ya Kenya itakayochezwa mji wa...
11 years ago
Tanzania Daima12 May
Ngorongoro Heroes yajiweka pabaya
TIMU ya taifa ya soka ya vijana wa chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, jana walianza vibaya kampeni ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Afrika kwa umri huo baada ya...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Nigeria yatua kuivaa Ngorongoro Heroes
TIMU ya soka ya Nigeria ‘Flying Eagles’ imewasili nchini kwa ajili ya mechi ya michuano ya Afrika kwa vijana wenye miaka chini ya 20 dhidi ya Tanzania ‘Ngorongoro Heroes’ itakayopigwa...
11 years ago
Tanzania Daima07 May
Wakongo kuamua Ngorongoro Heroes vs Nigeria
SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF), limewateua waamuzi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), kuchezesha mechi namba 19 ya kufuzu fainali za vijana, kati ya Tanzania ‘Ngorongoro Heroes’ na Nigeria,...