Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngumi wampongeza Waziri Membe

SHIRIKISHO la Ngumi Tanzania (BFT), limempongeza Waziri wa Mambo Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kwa hatua na jitihada alizozifanya za kutafuta na kufanikisha kambi ya mazoezi kwa timu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

RT WAMPONGEZA WAZIRI MEMBE KWA KUUNGA MKONO KUENDELEZA RIADHA TANZANIA

Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony Mtaka , akizumgumza na Waandishi wa Habari mjini Morogoro kutoa pongezi na kumshukuru Waziri Membe .
Na John Nditi, Morogoro
RAIS wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Anthony  Mtaka  amemshukuru Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe  kwa kuanzisha diplomasia ya michezo na nchi za nje pamoja  na kufadhili maandalizi ya wanariadha 40 na makocha sita.
Wanamichezo  na makocha hao wanapelekwa nje kwa ajili ya...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AKUTANA KWA MAZUNGUMZO NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA UTURUKI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Mhe. Ahmed Davutoglu walipokutana Mjini Addis Ababa kwa mazungumzo kuhusu kuimarisha ushirikiano kati ya Tanzania na Uturuki. Mhe. Membe yupo Addis Ababa akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) uliofanyika kuanzia tarehe 30 hadi 31 Januari, 2014. Mhe. Membe (katikati) akiwa na...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe amwakilisha Rais Kikwete kwenye hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb) wa katikati alipokuwa anaingia kwenye uwanja uliotumika kumwapisha Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe. Pakalitha Mosisili jijini Maseru jana. wengine katika picha, kutoka kulia ni Bibi Talha Mohammed, Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Mhe. Radhia Msuya, Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini ambaye pia anawakilisha Lesotho. kutoka kushoto ni Maafisa wa Serikali ya Lesotho.Waziri Mkuu mpya wa Lesotho, Mhe....

 

5 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA TANCDA WAMPONGEZA WAZIRI WA AFYA KUKEMEA MATUMIZI YA TUMBAKU KWA KUWA NI HATARI

Na Said Mwishehe,Michuzi TV.
VIONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Magonjwa Yasiyoambukiza (TANCDA)limeamua kutoa pongezi kwa Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu kwa hatua yake ya kukemea matumizi ya tumbaku kwa kuwa ni hatari kwa afya.
Kwa mujibu wa TANCDA ni kwamba tamko la Waziri Ummy Mwalimu linaonesha namna ambavyo Serikali ya Awamu ya Tano inavyojali afya za Watanzania, lakini pia kulinda maslahi ya kiuchumi na kijamii.Waziri wakati akizindua Ripoti...

 

9 years ago

MillardAyo

Video: Waziri mkuu wa Hispania alivyopigwa ngumi katikati ya kampeni, tukio la pili ndani ya wiki

Siku zinahesabika toka Waziri mkuu wa Ukraine alipobebwa juujuu akiwa bungeni, aliyembeba alijifanya kama anampelekea ua alafu baada ya kufika akambeba juujuu kabla hajashambuliwa kwa kipigo na baadhi ya waliokuwemo bungeni, sasa December 16 2015 habari ya zamu ya Waziri mkuu wa Hispania. Waziri mkuu wa Hispania Mariano Rajoy alipigwa ngumi usoni na kijana ambaye alikua […]

The post Video: Waziri mkuu wa Hispania alivyopigwa ngumi katikati ya kampeni, tukio la pili ndani ya wiki appeared...

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI MEMBE ALIPOWASILI KUWAIT


Msafara wa Mhe. Membe ukitokea airport kuelekea hotelini ambapo atakaa kwa siku leo tarehe 14-15 Aprili 2015 (usiku) moja kabla ya kuelekea Oman kuendelea na ziara yake.Mhe. Bernard Membe akiwasili hotelini nchini Kuwait kwa ziara ya siku moja ambapo atakutana na kufanya mzaungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait na Mkurugenzi Mkuu wa Kuwait Fund. Aliyeongozana na Waziri Membe ni Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Nassem Ibrahim Al Najib ambaye alimpokea uwanja wa ndege.
Waziri Membe...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE AWAHUSIA MABALOZI WA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe akiongea na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali na Wakuu wa Idara/Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje. Wengine katika picha hiyo ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Liberata Mulamula. Waziri Membe aliwataka Mabalozi hao kuhakikisha kuwa mafanikio ya kidiplomasia ambayo Serikali ya awamu ya nne...

 

10 years ago

Michuzi

Waziri Membe amuaga Balozi wa Qatar

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,  Mhe. Bernard  K. Membe (Mb.) akimkaribisha ofisini kwake Balozi wa kwanza wa Qatar nchini Tanzania Mhe. Jassim M. Al-Darwish alipokwenda kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.Waziri Membe akizungumza jambo na Balozi Jassim M. Al-Darwish huku Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati Balozi Simba Yahya (kushoto) akisikiliza.Afisa Mambo ya Nje, Bw. Batholomeo Jungu akisikiliza mazungumzo kati ya Waziri Membe na Balozi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Membe alipongeza Kanisa la SDA

PIX 1.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Benard Membe akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza Kuu la Makanisa ya Sabato Duniani Askofu Ted Wilson wakati wa siku ya ufungaji wa Kongamano hilo lililofanyika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam siku ya tarehe 7 Februari, 2015.

Na Benedict Liwenga, Maelezo-Dar es Salaam.

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe amelipongeza Kanisa la Wasabato (SDA) kwa kuwa mfano mzuri wa ustahimilivu, uvumilivu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani