Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHIF TANGA WATUA KILINDI KUHAMASISHA WANANCHI JUU YA VIFURUSHI VIPYA

MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu
akizungumza na waumini wa kanisa la Adventist (Wasabato) wakati akihamasisha juu ya vifurusi vipya vya mfuko huo katika halmashauri ya wilaya ya Kilindi mkoani Tanga

MENEJA wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Tanga (NHIF) Ally Mwakababu kushoto akitoa elimu kwa mfanyabiashara wa viatu wilayani Kilindi kuhusu umuhimu wa kujiunga na bima ya afya wakati wa uhamasishaji wananchi juu ya vifurushi vipya katika...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NHIF KUHAMASISHA WANANCHI KUJIUNGA NA MFUKO HUO KATIKA HALMASHAURI 54 NCHINI

Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichni) katika makao makuu ya NHIF Bendera Tatu jijini Dar es salaam kuhusu kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo, Kutoka kulia ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano, Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na kutoka mkushoto ni Dr Frank Lekei (Mkurugenzi wa Tiba na masuala...

 

10 years ago

Dewji Blog

NHIF yaendelea na kampeni ya kuhamasisha wananchi kujiunga na CHF katika kijiji cha Chumo Kilwa

1

Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) Bw, Rehani Athumani akikabidhi mashuka kumi kwa Khatib Said mwenyekiti wa kijiji cha Chumo Wilayani Kilwa mkoani Lindi yaliyotolewa na mfuko huo kwa ajili ya zahanati ya kijiji hicho wakati wa mwendelezo wa kampeni ya uhamasishaji wananchi kujiunga na huduma ya Afya ya Jamii CHF inayotolewa na NHIF, Ambapo wananchi mbalimbali walipima afya kwa magonjwa yasiyo ya kuambukiza na kujiunga na huduma hiyo kwenye uwanja wa shule...

 

10 years ago

Bongo5

Vifurushi vipya vya mitandao: TCRA yatoa tamko na maagizo kwa makampuni ya simu

Mamlaka ya mawasiliano nchini, TCRA imetoa tamko kuhusiana na malalamiko kutoka kwa watumiaji wa huduma za simu nchini kufuatia kubadilika kwa vifurushi vya mawasiliano. Malalamiko hayo yalikuja baada ya baadhi ya mitandao ya simu kupunguza ukubwa wa data anazopata mtumiaji wa simu anapojiunga na vifurushi vya muda wa maongezi, sms na data kwa pamoja. Baadhi […]

 

9 years ago

Michuzi

RC MAHIZA AITAKA NHIF KUTOA ELIMU ZAIDI KWA WANANCHI JUU YA UMUHIMU WA KUJIUNGA NA MFUKO WA AFYA YA JAMII (CHF)

NA MWANDISHI WETU,TANGA.
MKUU WA Mkoa wa Tanga,Mwantumu Mahiza ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani hapa kuendelea kutoa elimu juu ya umuhimu wa wananchi kujiunga na mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ili kuweza kuongeza wigo mpana wa wanachama ambao wataweza kunufaika na huduma zao.
Alitoa wito huo jana wakati akipokea mashuka 150 yaliyotolewa na mfuko huo vyenye thamani ya shilingi milioni tatu yaliyotolewa na Mfuko huo kwa ajili ya vituo vitatu vya afya vya Mkinga, Maramba na...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA KATIKA WILAYA YA KILINDI MKOANI TANGA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi wa Kwediboma wakati wa mapokezi .
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwaslimia wakazi wa Kwediboma wilaya ya Kilindi mkoani Tanga.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wakazi wa Kwediboma wakati wa kushiriki kujenga msingi wa kituo cha afya cha Kwediboma.
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kutandaza mawe kwenye msingi wa kituo cha afya Kwediboma.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman...

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA KATIKA KAMPENI HANDENI NA KILINDI MKOANI TANGA

Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akihutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga jana.Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya Ukawa, Edward Lowassa, akisaalimiana na watoto baada ya kuhutubia wananchi katika mkutano wa kampeni kwenye Uwanja wa Kwediboma wilayani Kilindi mkoani Tanga jana.Ofisa wa Polisi akitoa heshima wa Mgombea urais wa Chadema anayeungwa mkono na Vyama vya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kilindi kurejesha ardhi kwa wananchi

HALMASHAURI ya Wilaya ya Kilindi, Mkoa wa Tanga, imekusudia kuirejesha katika serikali za vijiji ardhi iliyochukuliwa kinyume na sheria, ili iweze kugawiwa  kwa wananchi wasio na maeneo. Pia halmashauri hiyo...

 

11 years ago

Michuzi

UONGOZI PSPF WATUA MWANZA KUANGALIA FURSA ZA UWEKEZAJI NA KUHAMASISHA UMMA KUJIUNGA NA MFUKO HUO

Mkuu wa mkoa wa Mwanza, Bw. Evarist Ndikilo (Kushoto) akijadiliana jambo na ujumbe kutoka mfuko wa Pensheni wa PSPF wakiongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko huo, Bw. Adam Mayingu (kulia), lengo la ziara hiyo ni kukutana na wadau wa Mfuko huo, kuangalia fursa za uwekezaji na na kuhamasisha jamii kujiunga katika mpango wa uchangiaji wa hiari (PSPF Supplementary Scheme) ambapo kila mtu anaweza kujiunga na kujipatia mafao bora kwa maisha ya sasa na baadaye.

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA MAJIMBONI 2015 : Majimbo ya Kilindi, Mkinga na Muheza mkoani Tanga hayana dalili nzuri kwa upinzani

Jimbo la Kilindi lina jumla kata 20, vijiji 102 na vitongoji 615 na kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 kuna wakazi 236,833 wanaume ni 118,167 na wanawake 118,666 kukiwa na wastani wa watu watano katika kila kaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani