Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHIF waianza 2016 kwa kuboresha huduma zao

PIX 1

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari jana Jijini Dar es salaam (hawapo pichani).

PIX 2

Mkurugenzi wa Masoko, Elimu kwa Umma na Utafiti Rehani Athumani akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu maboresho katika Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

PIX 3

Waandishi wa Habari wakifatilia taarifa iliyokuwa ikitolewa na  Uongozi wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) jana Jijini Dar es salaam.(Picha na Jacquiline...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NHIF kuanza mwaka mpya wa 2016 kwa kuboresha huduma zao

Na Jacquiline Mrisho- MAELEZO
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unategemea kuboresha baadhi ya huduma zao ifikapo 2016 ili kuongeza ufanisi katika utoaji wa huduma hizo kwa wananchi.
Akiyasema hayo leo Jijini Dar es salaam Kaimu Mkurugenzi Mkuu Michael Mhando amezitaja baadhi ya huduma ambazo wana mpango wa kuziboresha kwa mwaka 2016  zikiwemo za kuongeza huduma ya matibabu ya moyo kwa kutumia bima ya NHIF,kutoa mikopo ya dawa,kurekebisha mfumo wa ulipaji wa baadhi ya huduma pia kubadili...

 

10 years ago

Michuzi

WATOA HUDUMA MKOANI LINDI WAASWA KUCHANGAMKIA MIKOPO INAYOTOLEWA NA NHIF ILI KUBORESHA HUDUMA ZA MATIBABU

Kaimu katibu tawala wa Mkoa wa Lindi Grayson Mwaigombe amewataka waganga wakuu wa hospitali kuanzia ya mkoa na wilaya,kuchangamkia mikopo ya riba nafuu inayotolewa na NHIF,ili waweze kuboresha huduma na pia kuwa chanzo kingine cha mapato ya hospitali,kwani wananchi kwa sasa wanahitaji huduma bora na stahiki,aliyesema hayo wakati wa elimu ya uhamasishaji watoa huduma wa Serikali, mashirika ya dini na watu binafsi waliosajiliwa na mfuko,kuchangamkia fursa ya mikopo ya vifaa tiba,ukarabati wa...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF kuendelea kuboresha huduma za afya nchini.




Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Raphael Mwamoto akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)kuhusu mpango wa kuendelea kuboresha huduma za Afya nchini, wakati wa mkutano uliofanyika leo Jijini Dar es Salaam.Kushoto Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko huo Bw. Deusdedit Rutazaa.
Mkurugenzi wa Fedha, Mipango na Uwekezaji kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Bw. Deusdedit Rutazaa akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani)...

 

10 years ago

Michuzi

BANDA LA NHIF LAWA KIVUTIO KWA HUDUMA NZURI

 Mkurugenzi wa Fedha na Uwekezaji, Deusdedit Rutazaa akitoa maelezo ya huduma zinazotolewa katika banda la Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  kwenye maonesho ya Wiki ya Utumishi Viwanja vya Mnazi Mmmoja, Dar es Salaam jana. Vitengo vya upimaji afya bure, Elimu kwa Umma na Uanachama wakiendelea kutoa huduma kwa wananchi waliofika bandani hapo. Mwananchini akihudumiwa ndani ya gari la wagonjwa baada ya kuonekana anahitaji huduma ya kwanza katika banda la Mfuko. NHIF imeweka gari maalum kwa ajili...

 

11 years ago

Habarileo

NHIF yaonywa mikopo ya dawa kwa watoa huduma

 Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe StephenSERIKALI imeuonya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), kuwa makini na mpango inaotaka kuuanza katika mwaka ujao wa fedha wa kutoa mikopo ya dawa kwa watoa huduma wote waliosajiliwa.

 

11 years ago

Michuzi

NHIF yapongezwa kwa huduma za upimaji Afya bure

Makamu wa Pili wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiangalia kipeperushi cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kinachoelezea fao la wastaafu wakati alipotembelea banda la Mfuko huo katika maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Maendeleo Tengeru.  Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa Sabi akiteta jambo na Mkurugenzi wa Wilaya hiyo Kagenzi Trasias baada ya kupata ufafanuzi kutoka kwa Maofisa wa NHIF kuhusiana na namna ya kujiunga na Mfuko huo kwa wanafunzi wa Vyuo vikuu.  Ofisa wa NHIF, Paul...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali kuendelea kuboresha huduma kwa wazee nchini

Waziri wa Afya, Dk Seif Rashid.KUANZISHWA kwa taaluma maalumu za wazee (Geatric Care) katika Chuo Kikuu cha Sayansi Shirikishi cha Muhimbili ni sehemu ya juhudi mbalimbali za serikali za kuboresha huduma kwa wazee.

 

10 years ago

Michuzi

BANK M KUBORESHA ZAIDI HUDUMA KWA WATEJA WAKE

 Naibu Mkurugenzi wa Habari wa Bank M,Allan Msalilwa akizungumza na waandishi habari (hawapo pichani) katika Ukumbi wa Hayyat Regency ,jijini Dar es Salaam juu ya huduma zinazotolewa na benki hiyo.Afisa Mtendaji Mkuu Biashara wa Bank M,Jacqueline Woiso akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu uboreshaji wa huduma kwa wateja wa benki hiyo.======= ======== ======== ===========Na Chalila Kibuda na Globu ya Jamii,Dar.


Benki M imesema imeendelea kuboresha huduma kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani