Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NHIF YAPELEKA MADAKTARI MKOANI MARA, WAWAFANYIA UPASUAJI WAGONJWA MBALIMBALI

Kaimu Mkurugenzi mkuu na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba akizungumza na waandishi wa habari leo kwenye makao makuu ya shirika hilo wakati alipotangaza kampeni ya siku 60 kwa ajili ya kuhamasisha wananchi kujiuga na Mfuko wa Bima ya Afya katika Halmashauri zipatazo 54 nchini Katikati ni Mkurugenzi wa Uendeshaji (NHIF),Eugen Mikongoti na mwisho ni Ali Othman Mkuu wa kitengo cha Mifumo ya Mawasiliano. Kaimu Mkurugenzi mkuu na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

NHIF yapeleka Madaktari Bingwa Kagera, Yaonya wadanyabyifu

Na Grace Michael, Kagera
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya umesema hautawavumilia watumishi katika hospitali ya Mkoa wa Kagera wanaojihusisha na vitendo vya kughushi nyaraka za kuchukulia dawa katika maduka ya dawa na kuusababishia Mfuko kulipa fedha ambazo hazijatumika kihalali.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw. Michael Mhando ameyasema hayo mjini hapa wakati akizungumza na uongozi wa Hospitali ya Mkoa wa Kagera kabla ya uzinduzi wa mpango wa Madaktari Bingwa ambao wamepelekwa na...

 

11 years ago

Mwananchi

Wafugaji mkoani Mara wageuka kuwa madaktari wa mifugo

Upungufu wa wataalamu wa mifugo umekuwa ukisababisha wafugaji kuingia hasara kubwa wakati yanapozuka magonjwa na pia mifugo kutokuwa na thamani inayotakiwa kutokana na kukosa ushauri sahihi kutoka kwa wataalamu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF) wazindua huduma za madaktari bingwa mkoani Singida!!

IMG_1247

Kaimu mkurugenzi mfuko wa taifa wa bima ya afya (NHIF),Michael Mhando,akitoa ufafanuzi juu ya lengo la mfuko huo kutuma madaktari bingwa wa magonjwa mbalimbali mikoani,kuwa pamoja na mambo mengine,ni kusogeza karibu zaidi  huduma zinazotolewa na madakatari hao ambao ni adimu.Wa pili kushoto (waliokaa) ni mkuu wa mkoa wa Singida, DkParseko Kone na wa kwanza kulia ni katibu tawala mkoa wa Singida, Festo Kang’ombe. Na Nathaniel Limu [Singida] Serikali mkoani  Singida, imewataka...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA MATIBABU MKOANI RUKWA WAPEWA ELIMU YA UTARATIBU WA MIKOPO MBALIMBALI INAYOTOLEWA NA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa akichangia na kufunga Semina maalum ya siku moja iliyoendeshwa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuwaelimisha wadau wa vituo mbalimbali vya kutolea huduma za matibabu Mkoani Rukwa juu utaratibu wa Mfuko huo katika kutoa mikopo ya vifaa tiba, dawa na ukarabati wa vituo vya kutolea huduma za matibabu. Lengo kuu la utaratibu huo ulioanzishwa na Mfuko wa Bima ya Taifa ni kuboresha huduma za matibabu kwa wanachama wake na watanzania kwa ujumla....

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasha Mshumaa katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kama ishara ya Kumbukumbu wakati alipofika katika Jumba la makumbusho Butiama mkoani Mara leo Sept 15, 2015 baadda ya kuadhimisha Kilele cha Siku ya Mara (Mara Day) iliyofanyika Butiama.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiweka Shada la Maua katika Kaburi ya Hayati Baba wa Taifa...

 

11 years ago

Michuzi

utaratibu wa kutembelea vijijini mara kwa mara kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ni muhimu - wito

Katibu tawala wa mkoa wa dodoma Ndg. Rehema Madenge amemtaka Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya mpya ya Chemba mkoani Dodoma na timu yake ya wataalamu kuweka mara moja utaratibu wa kutembelea vijijini mara kwa mara kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kwenye wilaya hiyo mpya.   Agizo hilo lilitolewa mapema wiki hii wakati wa ziara ya timu ya wataalamu kutoka sekretarieti ya mkoa wa dodoma wakiongozwa na katibu tawala hiyo walipotembelea wilaya ya chemba...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Madaktari wazawa jifunzeni upasuaji wa matobo’

KUTOKANA na uhaba wa huduma za upasuaji kwa njia ya matobo nchini, madaktari wazawa 200 kutoka hospitali mbalimbali wameshauriwa kujifunza aina hiyo ya upasuaji inayopunguza gharama za wagonjwa wasio na...

 

10 years ago

Michuzi

wagonjwa wa vikope kufanyiwa upasuaji

Na. Catherine Sungura, MOHSW-Arusha
Zaidi ya wagonjwa elfu arobaini wanaougua ugonjwa wa vikope unaotokana na trakoma wanatarajiwa kufanyiwa upasuaji wa macho katika mikoa sita nchini Tanzania kwa muda wa miaka mitano.
Hayo yamezungumzwa jana jijini hapa na Mratibu wa Mpango wa kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele dkt. Upendo Mwingira wakati akiwasilisha mada kwenye mkutano wa nne wa kazi kati ya wizara na wadau wanaofadhili mpango huo Upasuaji huo unafadhiliwa na...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Jakaya Kikwete awapongeza Madaktari bingwa wa Moyo kwa upasuaji

mu1

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na kisha kupiga picha ya pamoja na madaktari wa Shirika lisilo la kiserikali la Al Muntada lenye makao yake makuu jijini London Uingereza wanaoendesha zoezi la upasuaji na tiba ya moyo kwa zaidi ya watoto 70 katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam jana. (Picha na Freddy Maro).

muh2

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani