utaratibu wa kutembelea vijijini mara kwa mara kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ni muhimu - wito
![](http://1.bp.blogspot.com/-6s1tVBFEDiM/UwSej65jN1I/AAAAAAAFN_E/gfxH9-PTqTg/s72-c/unnamed+(77).jpg)
Katibu tawala wa mkoa wa dodoma Ndg. Rehema Madenge amemtaka Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya mpya ya Chemba mkoani Dodoma na timu yake ya wataalamu kuweka mara moja utaratibu wa kutembelea vijijini mara kwa mara kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa kwenye wilaya hiyo mpya. Agizo hilo lilitolewa mapema wiki hii wakati wa ziara ya timu ya wataalamu kutoka sekretarieti ya mkoa wa dodoma wakiongozwa na katibu tawala hiyo walipotembelea wilaya ya chemba...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili09 Jan
11 years ago
Tanzania Daima22 Jul
Upimaji afya mara kwa mara ni muhimu
AFYA ni hali ya kuwa vizuri kiakili, kimwili na kiroho. Ili uweze kumudu shughuli ulizonazo na kuishi miaka mingi unapaswa kuwa na afya bora. Vyote hivyo utavipata kama utakula chakula...
10 years ago
VijimamboWAZIRI MUHONGO AANZA ZIARA YA SIKU 6 MKOANI MARA KUTEMBELEA MIRADI YA UMEME
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TQDVHBx0tuW3ScMCRPB6ry*qL6raffTrTr*d6c1RvpXm6pKNwN402BD-Sf9iEgn0rUPpzRGXRR1MT0SnJjHkrKS8bWRrs5XP/ccm1.jpg?width=650)
KATIBU MKUU WA CCM, KINANA ZIARANI HANDENI, AZUNGUMZA NA WANANCHI NA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI MBALIMBALI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MsrhAIV0SVk/VCHW28h3tSI/AAAAAAAARJU/xStLmkAFEqI/s72-c/1.jpg)
KATIBU MKUU WA CCM,KINANA ZIARANI HANDENI,AZUNGUMZA NA WANANCHI NA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI MBALIMBALI
![](http://4.bp.blogspot.com/-MsrhAIV0SVk/VCHW28h3tSI/AAAAAAAARJU/xStLmkAFEqI/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-fuskadLsPA8/VCHZZKnd1LI/AAAAAAAARKQ/on2mQhf5d-w/s1600/2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NoSx4r95EBg/VCHZ0KBUy9I/AAAAAAAARKo/4Z-zueAgNQs/s1600/5.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-prFe0IwzjMs/VfhpmsGhVNI/AAAAAAAH5EA/CxQHt6U7i4I/s72-c/1.jpg)
MAKAMU WA RAIS AADHIMISHA KILELE CHA SIKU YA MARA (MARA DAY) BUTIAMA MKOANI MARA
![](http://3.bp.blogspot.com/-prFe0IwzjMs/VfhpmsGhVNI/AAAAAAAH5EA/CxQHt6U7i4I/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tsiZAHkOin0/VfhpxGyMqRI/AAAAAAAH5Eg/rSdPFad4r4M/s640/2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-MM4mPixXl6Q/VZl7GQEH0kI/AAAAAAAHnJ0/YplgBei2Gac/s72-c/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na michezo yahitimisha mafunzo kwa kutembelea miradi mbalimbali wilaya ya Nzega
![](http://1.bp.blogspot.com/-MM4mPixXl6Q/VZl7GQEH0kI/AAAAAAAHnJ0/YplgBei2Gac/s640/unnamed%2B%252823%2529.jpg)
10 years ago
Vijimambo24 Nov
Mabadiliko ya mara kwa mara ya Mitaala shule za Msingi inawachanganya wanafunzi.
![](http://www.fikrapevu.com/wp-content/uploads/2014/11/stationery-640x350.jpg)
Fikra Pevu
BAADHI ya Walimu wa Shule za Msingi katika jiji la Dar es Salaam wamelalamikia mabadiliko ya mara kwa mara ya mitaala kwa shule za msingi pamoja na idadi kubwa ya masomo kwa wanafunzi wa madarasa yote na kwamba yamekuwa yakiwachanganya wanafunzi na kuwafanya washindwe kumudu masomo yao.
Wakizungumza kwa nyakati tofauti na FikraPevu jijini humo Novemba 17, 2014 walimu hao wamesema mabadiliko ya mara kwa mara kwa mitaala yanayofanywa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi bila...
9 years ago
Mwananchi20 Nov
Fahamu kinachosababisha maumivu ya kichwa, harara, kiungulia mara kwa mara