NHIF YATETA NA WADAU WAKE WA MKOA WA DAR ES SALAAM
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam na Mkuu wa Waya ya Ilala Mh. Raymond Mushi akifungua mkutano wa Wadau wa Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF uliofanyika leo kwenye ukumbi wa Malimu Nyerere Conference Centre jijini Dar es salaam kuzingumzia mambo mbalimbali kuhusu huduma hiyo ya bima ya afya, wadau waliohudhuria katika mkutano huo n kutoka wilaya ya Temeke, Ilala na Kinondoni mkoani Dar es salaam, Lengo kuu likiwa kuhamasisha na wananchi kujiunga na mfuko huo na kufikia asilimia...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/234.jpg?width=650)
NHIF YATETA NA WADAU WAKE WA MKOA WA DAR ES SALAAM
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-2KDaAWrI4YI/VaD6FXUdyNI/AAAAAAAAV5k/XtPQRlSyHOY/s72-c/FSA_p1.jpg)
PPF YAFUTURISHA WADAU WAKE JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-2KDaAWrI4YI/VaD6FXUdyNI/AAAAAAAAV5k/XtPQRlSyHOY/s640/FSA_p1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-2bhRuoXX8GI/VaD6aHp7d1I/AAAAAAAAV5s/0t7-Qky996w/s640/FSA_2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog08 Sep
NHIF yateta na wasanii BASATA
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya ya Taifa NHIF tawi la Ilala Bw.Christopher Mapunda akizungumza na washiriki wa semina katika ya shirika hilo na Wasanii mbalimbali iliyofanyika kwenye ukumbi wa Baraa za la Sanaa nchini BASATA ili kupata elimu juu ya huduma za afya zinazotolewa na shirika hilo kwa vikundi mbalimbali na mashirika pamoja na taasisi mbalimbali za serikali, kulia ni Mkwabi Fikirini Meneja Udhibiti na ubora na Hans Mwankenja Ofisa Mwandamizi matekelezo.
Baadhi ya maofisa wa...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-h34Z58m713o/VdyvoYgjHtI/AAAAAAAHz-g/UMPQAjY8Iwo/s72-c/Kaimu%2BMkurugenzi%2BMkuu%2Bwa%2BMfuko%2Bwa%2BTaifa%2Bwa%2BBima%2Bya%2BAfya%2BMichael%2BMhando.jpg)
NHIF yateta na NIDA kuhusu vitambulisho
![](http://3.bp.blogspot.com/-h34Z58m713o/VdyvoYgjHtI/AAAAAAAHz-g/UMPQAjY8Iwo/s400/Kaimu%2BMkurugenzi%2BMkuu%2Bwa%2BMfuko%2Bwa%2BTaifa%2Bwa%2BBima%2Bya%2BAfya%2BMichael%2BMhando.jpg)
Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya umekutana na Uongozi wa Mamlaka ya Vitambulisho (NIDA) kwa lengo la kubadilishana uzoefu na changamoto katika suala la utambuzi wa watumiaji wa huduma za vitambulisho.
Hatua hiyo ya NHIF kukutana na uongozi huo inakusudia kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa wanachama wake ambao tayari wana vitambulisho vya Taifa.
Akizungumzia hatua hiyo, Kaimu Mkurugenzi wa NHIF Bw. Michael Mhando, amesema Mfuko wake umeona kuna umuhimu mkubwa wa...
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/09/212.jpg?width=650)
NHIF YATETA NA WASANII BASATA
11 years ago
Michuzi27 Jun
NHIF YATETA NA WAHARIRI MJINI BAGAMOYO
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/06/154.jpg)
10 years ago
Michuzi01 Nov
JUMUIYA YA WAZAZI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA DAR ES SALAAM YAZINDUA DAFTARI LA WANACHAMA WAKE
10 years ago
GPL08 May
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-UMaavzXYADA/VLfcPC3hTTI/AAAAAAAG9mg/mo31Z4EOp8M/s72-c/DSC_0159.jpg)
NHIF yaendelea kutoa somo kwa wadau wa afya jijini dar
![](http://4.bp.blogspot.com/-UMaavzXYADA/VLfcPC3hTTI/AAAAAAAG9mg/mo31Z4EOp8M/s1600/DSC_0159.jpg)