Ni Mabadiliko
* Magufuli ampeleka Maswi TRA
* Majenerali JWTZ wapewa wizara nyeti
RAIS Dk. John Magufuli amemteua Katibu Tawala Mkoa wa Manyara, Eliakimu Maswi, kuwa Kaimu Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na kutengua uteuzi wa aliyekuwa anashika wadhifa huo, Lusekelo Mwaseba ambaye atapangiwa kazi nyingine.
Kabla ya uteuzi huo, Maswi alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, lakini alisimamishwa kutokana na tuhuma za uchotwaji wa fedha katika akaunti ya Tegeta Escrow, kabla ya...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog12 Sep
Mabadiliko boraa ndiyo wanainchi wanayohitaji na sio bora mabadiliko-Dkt Magufuli
![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s640/_MG_5213.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-V3NXh4LQFcI/VfMYKjOzTtI/AAAAAAAC-9E/NPLO1xXAxGE/s640/_MG_5242.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s72-c/_MG_5213.jpg)
DKT MAGUFULI ALIVYOITEKA MUSOMA, ASEMA MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO
![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s640/_MG_5213.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-V3NXh4LQFcI/VfMYKjOzTtI/AAAAAAAC-9E/NPLO1xXAxGE/s640/_MG_5242.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s72-c/_MG_5213.jpg)
MABADILIKO BORA NDIYO WANAINCHI WANAYOHITAJI NA SIO BORA MABADILIKO-DKT MAGUFULI
![](http://2.bp.blogspot.com/-UwLK6fCowmI/VfMYWqj8AHI/AAAAAAAC-9U/RvDXxyZyNzs/s640/_MG_5213.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-6tB5GfgHDpE/VfMY1jMfO5I/AAAAAAAC-9s/7u7KRNpoCzQ/s640/_MG_5246.jpg)
9 years ago
Raia Mwema19 Aug
TUNATAKA “mabadiliko” au MABADILIKO?
UPEPO wa mabadiliko nchini unaendelea kuvuma.
Lula wa Ndali Mwananzela