Nigeria kutumia ndege dhidi ya Boko.H
Polisi nchini Nigeria, wanasema kuwa inanunua ndege tatu za kufuatilia shughuli za kundi la wapiganaji wa kiisilam la Boko Haram.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili12 Jun
Nigeria na mikakati dhidi ya Boko Haram
Serikali ya Nigeria na nchi nyengine nne majirani zimekubaliana kuunda jeshi la pamoja ili kupambana na wapiganaji wa Boko Haram.
11 years ago
BBCSwahili26 Mar
Kenya kutumia ndege kupambana na ujangili
Kenya inajiandaa kuanzisha mradi wa kutumia ndege zisizokuwa na rubani kuimarisha ulinzi katika mbuga za wanyama, kutokana na kuongezeka kwa ujangili
10 years ago
BBCSwahili10 Oct
Uturuki kuzuia ndege kutumia anga lake
Waziri wa masuala ya kigeni wa Uturuki Mevlut Cavusoglu amesema hawategemei kuongoza mashambulizi ya ardhini dhidi ya IS
11 years ago
BBCSwahili14 Apr
Urusi yaonya dhidi ya kutumia jeshi
Kikao cha dharura cha umoja wa mataifa chajadili kudorora kwa usalama Ukraine
11 years ago
BBCSwahili17 May
Viongozi watangaza vita dhidi ya Boko: H
Viongozi wa Afrika wanaokutana mjini Paris Ufaransa wamekubaliana kutangaza vita dhidi ya kundi la wapiganaji wa kiisilamu la Boko Haram.
10 years ago
BBCSwahili01 Feb
Chad yafanikiwa dhidi ya Boko Haram
Jeshi nchini Chad linaendelea kufanya mashambulizi dhidi ya wanamgambo wa Boko Haram eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria.
11 years ago
BBCSwahili18 May
Ushirikiano dhidi ya Boko Haram waanza
Viongozi wa mataifa ya Afrika Magharibi waliopo mjini Paris,wamekubaliana kuimarisha ushirikiano dhidi ya Boko Haram.
11 years ago
Mwananchi24 Jun
TEKNOLOJIA: Tanzania tunaweza kutumia ndege zisizotumia rubani
>Hatujaifikia teknolojia hiyo, lakini tunaweza kuwekeza katika ubunifu na kufikia mahali pa kutengeneza au kuzitumia katika shughuli mbalimbali. Nazungumzia ndege zisizo na rubani maarufu kwa jina la ‘Drones’.
10 years ago
Mwananchi20 Jul
Upinzani waja juu Magufuli kutumia ndege ya Serikali
>Wanasiasa wa upinzani nchini wamepinga kitendo cha mgombea urais wa CCM, Dk John Magufuli kutumia ndege ya Serikali kwenye shughuli za kichama za kujitambulisha wakisema hatua hiyo ni matumizi mabaya ya rasilimali za Taifa.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania