Niler kushiriki Top Model Misri
Aliyeibuka kidedea katika mashindano ya Tanzania Top Model yaliyofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita, Niler Bernad atashiriki mashindano ya Dunia, ‘Top Model of the World’ yanayotarajiwa kufanyika Machi 2014 nchini Misri.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima11 Dec
Niler aandika historia Tanzania Top Model
MWANAMITINDO Niler Mruma (21), amefanya kisichotarajiwa na wengi baada ya kunyakua mataji yote matatu yaliyokuwa yakigombewa kwenye shindano la kwanza la Tanzania Top Model lililofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni...
11 years ago
TheCitizen06 May
PROFILE: From top model to role model: Meet Ellygyver Godwin
11 years ago
TheCitizen28 Mar
Top model TZ aiming for grand stage
9 years ago
BBC
VIDEO: Model Alek Wek's fight to the top
11 years ago
Dewji Blog28 Sep
Jihan Dimachk ndiye Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014
Mshindi wa taji la Redd’s Miss Tanzania Top Model 2014, Jihan Dimachk (katikati) akipozi kwa picha na mshindi wa pili Doreen Robert (wapili kulia), mshindi wa tatu Evelyn Baasa ambaye pia ni Miss Tanzania Photogenic 2014 (wapili kushoto), mshindi wa nne, Lilian Timothy (kulia) na Mshindo wa tano Nasreen Abdul, mara baada ya kushinda taji hilo jana ambapo Jihan amekuwa mrembo wa pili kuingia katika nusu fainali za Miss Tanania 2014 baada ya Miss Photogenic. Shindano la Miss Tanzania Top...
11 years ago
VijimamboJihan Dimachk atwaa taji la Redd's Miss Tanzania Top Model 2014
11 years ago
Michuzi14 Aug
5 years ago
Forbes05 Apr
Tesla Model Y, Model 3 Owners Express Love, Hate: Despite Flaws, They’re Devoted To Their Car