NIMEZALIWA KWA ZULU NATAL
![](http://api.ning.com:80/files/n6JmThHrscbbA-PK9cqGaYFdeDNZUaj1m-zKaUcdZ9TNwhNEVAoFx72HfDeq*WQPpoUu0Hy1MtWx4oxjzucPtX87S8DVO62G/CHEKANAKITIME.jpg?width=650)
Baada ya kuzamia Ulaya jamaa yetu mmoja hatimaye akawa anaishi Uswisi. Lakini maisha yake yalikuwa ya kujifichaficha maana alikuwa hana vibali vya kuishi huko. Washikaji wenzie wakamwambia dawa hapa ni kufanya juu chini aoe mwanamke wa Kiswisi, hapo lazima atapata uraia. Katika sakasaka hatimaye mama mmoja mzeemzee akaingia mkenge na kudhania anapendwa akakubali kuolewa na Mbongo. Mbongo akawa amejitambulisha kuwa eti...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo512 Jul
Video:Terrance J, Chaka Zulu na David Banner watimiza ahadi ya Kikwete, watoa funzo kwa wasanii
9 years ago
Bongo Movies09 Sep
Aunt ezekiel: Nimezaliwa Kisarawe, Siyo CCM
STAA wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ‘mama Cookie’ amewajia juu wanaomsema kuwa amekikacha Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kukimbilia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuwa hajazaliwa na chama hicho bali amezaliwa Kisarawe.
Akiendelea kucharuka mbele ya Amani, Aunt alisema kuwa hata kama huko alipo wakishindwa atakubali matokeo kwa kuwa lazima katika mchezo kuna upande utashinda na mwingine utashindwa hivyo atakubali yote.
“Ninachojua mwisho wa siku lazima kuna mshindi na mshindwa...
10 years ago
Bongo Movies31 Jan
Lulu:Sijawahi Kuwa Mweusi, Rangi ya Mtume Nimezaliwa Nayo
Urembo:Mrembo na mwigizaji wa filamu za kibongo, Diana Elizabeth Michael ‘Lulu’ hivi majuzi alitupia picha yake ya zamani mtandaoni (hiyo hapo juu) ikiwa kama ni “ThrowBackThursday” (TBT) yake, na kuiandikia mameno haya;
“Let me ThrowitBack ,Shikana Mama, Enzi ZaUjana
Sijawahi kuwa mweusi lol..! Rangi Ya Mtume Nimezaliwa Nayo”
Wengi walimsifu na kumpongeza Lulu kwa kuweza kuitunza ngozi yake kwakutupia “comments” na kugonga “likes” za kutosha kwenye picha hiyo, kwani anaonekana kuwa...
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75431000/jpg/_75431019_zulu624.jpg)
Screening marks 50 years of Zulu
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/83543000/jpg/_83543683_83541145.jpg)
VIDEO: Fusion of Zulu and classical ballet
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82712000/jpg/_82712036_whitezulu1.jpg)
VIDEO: The 'White Zulu' singing Maskandi
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/80096000/jpg/_80096847_51398325.jpg)
Zulu Bible translation aid welcomed
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/75406000/jpg/_75406798_zulu624.jpg)
Zulu - the film which inspired UK and South Africa
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/82427000/jpg/_82427353_zulu.jpg)
Zulu king seeks to calm SA violence