Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NIMRI KUFANYA KONGAMANO LA SAYANSI LA 29 KUANZIA OKTOBA 13-15, 2015

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMRI), Dk. Mwele Malecela akiongea na waandishi wa habari leo ofisini kwake kuwaelezea juu ya kongamano la Sayansi la 29 kuanzia Oktoba 13-15, 2015 katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam. Pembeni yake ni Meneja Raslimali Watu, Bupe Ndelwa. Waandishi wa habari wakifuatilia mkutano huo.
 TAASISI ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu inapenda kutoa taarifa kuwa itafanya Kongamano lake la...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shirika la GPF laandaa kongamano kubwa la vijana la kujadili amani, kufanyika Zanzibar kuanzia julai 12, 2015


Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe.2

Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, kuhusu kongamano kubwa la vijana  litakalofanyika Zanzibar kwa kipindi cha mwezi mzima kuanzia Julai 12 mwaka huu. Kongamano hilo litahudhuriwa na marais wastafu na viongozi maarufu. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa GPF nchini, Martha Nghambi na Mratibu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

TOTO AFRICAN KUFANYA UCHAGUZI MWEZI OKTOBA 2015

Klabu ya Toto African ya Mwanza inatarajiwa kufanya uchaguzi wa kujaza nafasi zilizo wazi katika kamati yake ya utendaji ifikapo tarehe 11 Oktoba 2015. 
Katika barua yake kwa Katibu Mkuu wa Toto African, Katibu Mkuu wa TFF ameuagiza uongozi wa Toto African kuwasiliana na Kamati yao ya Uchaguzi ili tangazo la uchaguzi litolewe si chini ya siku sitini (60) kabla ya tarehe ya kufanyika uchaguzi.

Kwa muda mrefu kumekuwa na mvutano katika klabu ya Toto na suala kubwa likiwa ni kuhusu ujazaji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

SHIRIKA LA GLOBAL PEACE FOUNDATION (GPF) LAANDAA KONGAMANO KUBWA LA VIJANA LA KUJADILI AMANI, KUFANYIKA ZANZIBAR KUANZIA JULAI 12, 2015

  Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe. Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Global Peace Foundation (GPF), Arnold Kashembe (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kongamano kubwa la vijana  litakalofanyika Zanzibar kwa kipindi cha mwezi mzima kuanzia Julai 12 mwaka huu. Kongamano hilo litahudhuriwa na marais wastafu na viongozi maarufu. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa GPF nchini, Martha Nghambi na Mratibu wa...

 

9 years ago

Michuzi

SUGU, NATURE, PROFESSA J KUFANYA SHOO YA KUHAMASISHA MASHABIKI KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiongea na waandishi wa habari ili kuwaelezea onyesho lao la bure wanalotarajia kulifanya Agosti 23, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala kuwahamasisha mashabiki wao kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. Pembeni ni Joseph Haule “Professa J”, Juma Kassim “Sir Nature” pamoja na Msagasumu.  Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule “Professa J” akionyesha ...

 

9 years ago

Vijimambo

SUGU, NATURE, PROFESSA J, KALA JEREMIAH KUFANYA SHOO YA KUHAMASISHA MASHABIKI KUPIGA KURA OKTOBA 25, 2015

Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Kala Jeremiah akiongea na waandishi wa habari ili kuwaelezea onyesho lao la bure wanalotarajia kulifanya Agosti 23, 2015 Jumapili kwenye viwanja vya Zakhem, Mbagala kuwahamasisha mashabiki wao kujitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu wa Rais, Wabunge na madiwani wa Oktoba 25, 2015. Pembeni ni Joseph Haule “Professa J”, Juma Kassim “Sir Nature” pamoja na Msagasumu. Msanii wa Muziki wa Kizazi kipya, Joseph Haule “Professa J” akionyesha msisitizo mbele...

 

9 years ago

Michuzi

VETA YASHIRIKI MAONESHO YA ELIMU YA UFUNDI KATIKA MKUTANO WA KWANZA WA KAMATI YA WATAALAM WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA UNAOFANYIKA KATIKA OFISI ZA UMOJA WA AFRIKA JIJINI ADDIS ABABA, ETHIOPIA TAREHE 27 HADI 31 OKTOBA,2015

Katibu Mtendaji wa Tume ya Sayansi, Ufundi na Utafiti wa Umoja wa Afrika Dkt. Ahmed Hamdy akimsikiliza kwa makini mwanafunzi Abubakar Masandiko  wakati anaelezea ubunifu huo wa kuwasha na kuzima taa kwa kutumia remote katika maonesho hayo.Naibu Waziri wa Elimu wa nchini Somalia, Bw. Hamud Ally Hassan akimpongeza mwanafunzi Abubakar Masandiko kwa ubunifu wake uliotokana na elimu ya tehama anayoendelea kuipata katika chuo cha VETA Kipawa.Mwanafunzi wa chuo cha VETA Kipawa Bw. Abubakar...

 

10 years ago

Michuzi

KONGAMANO LA ICT - WIZARA YA SAYANSI NA HUAWEI TANZANIA

Katibu mkuu wa Wizara ya Sayansi Pro. Patrick Makungu  na Md of Huawei Tanzania Bw. Zhan Yongquan anayeshuhudia ni balozi wa china nchini Tanzania, Waziri wa Mawasiliano Sayansi na technolojia na waziri wa afya wa Zanzibar Bw kombo. Waziri wa Wizara ya Sayansi pro. Makame Mbawara akielezea Data Center iliyojengwa hapa Tanzania . Pembeni yake ni Director wa ICT Dr. Ally SimbaMr. Jiang Xin (Product Manager wa Huawei Enterprises) akielezea Data Center.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani