Ninafikiri siku ya kifo changu imekaribia – Wema Sepetu
Hakuna binadamu asiyefahamu hatma yake hapa duniani, licha ya kwamba wengi huwa hawapendi hata kuzungumzia swala la kifo, lakini mrembo Wema Sepetu hana tatizo katika hilo.
Muigizaji na Miss Tanzania wa zamani Wema Sepetu ameandika ujumbe kuhusu ‘anachofikiria’ kuhusu kifo chake, kitendo kilichowaachia maswali mashabiki wake ya kwanini amewaza na kuamua kuandika maneno hayo.
Kupitia Instagram Wema ameandika:
“Kumbuka kwamba kuna kifo… Iko siku utaitwa Marehemu…. Put that in your head… Im...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWEMA SEPETU ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/F_3krU1MtNQ/default.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/L87BcYtLJm8/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mMRmJLLEzVHtLZ4INT44dTXtu4vRQ24IIXA6Fmfb5ady93QauAZOiRryzEcEax4gBxzDG5HJar4UcEY21qbhJLJZvBXhiCXm/3.jpg?width=650)
‘EE MUNGU SITEMBEI TENA, NASUBIRI KIFO CHANGU TU’
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
Mzee Majuto Amuunga Mkono Wema Sepetu, Diamond Amtaka Wema Abadilike Kama Kweli Anautaka Ubunge
Mzee Majuto kwa mara ya kwanza ameamua kufunguka kumuunga mkono Wema Sepetu kwa nia yake ya kutaka kuwa mbunge.Kupitia ukurasa wake mtandaoni, Mzee Majuto ameandika;
Nisingependa kuyaongea haya kwenye mfungu mtukufu ila kiundani ningependa kuonyesha umoja na kumuunga mkono wazo na lengo la Mwanangu kwa kuwa anaweza na amethubutu sasa isitokee wale wasiopenda maendeleo ya watu na taifa hili kuvuruga misingi na mipango madhubuti ya kuwapa nafasi vijana na hasa wanawake kushika hatamu na...
10 years ago
Mtanzania27 Jan
KUMRADHI WEMA SEPETU
Katika gazeti letu la Mtanzania toleo No. 7709 la Alhamisi Januari 22, mwaka huu, tuliandika kimakosa stori yenye kichwa cha habari ‘Wema Sepetu ampeleka Diamond Polisi’. Baada ya kufanya uchunguzi tumejiridhisha habari ile haikuwa na ukweli, kwani chanzo kilichotupatia kilitupotosha, hivyo kuleta usumbufu kwa msanii Wema pamoja na jamii. Kutokana na hali hiyo, tunapenda kumwomba radhi Wema na familia yake. Siku zote sisi MTANZANIA tumekuwa makini katika kusimamia misingi ya habari za weledi...
10 years ago
Vijimambo20 Nov
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/IbKmuh9lclY/default.jpg)