Nisikilize mwanagu
Nisikize mwanangu, haya ninayoongea, Hali yangu mbaya sana, mwenyewe wajionea, Tumaini sina tena, sioni pa kuponea, Sijiwezi sitapona, kaburi laningojea.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Jul
‘Siwezi kusahau mwanagu alivyokatwa uume’
>Ni furaha ya kila mzazi kupata mtoto mwenye siha njema na mtimilifu wa viungo. Lakini ilikuwa bahati mbaya kwa Mario Sanga, ambaye licha ya kubarikiwa kupata mtoto wa kiume mwenye afya bora, aliyekamilika, kufumba na kufumbua mtoto huyo amepata ulemavu ambao ni adhabu pia upungufu mkubwa kwa mwanaume yeyote duniani.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania