NISSAN DEVELOPS FIRST 'SELF-CLEANING' CAR PROTOTYPE
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/DSC_0004.jpg)
NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/qHkXSNTTQ9fmojbSGpCVY9TW54lhlj-ptX7F*gkaWxvLUUMfsGtJMtgH59svzjuFjg0jwmEqXG5NomQBFZbiGCm0rxkjtgMs/hands.in.the.air.gif?width=650)
MKE WA OBAMA ASHEREHEKEA BETHIDEI YA MIAKA 5 YA KAMPENI YAKE YA 'LET'S MOVE' KWA DANSI
MKE wa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama juzi Jumatatu alitoa shoo ya nguvu kwa kucheza wimbo wa Mark Ronson uitwao "Uptown Funk" akiwa sambamba na mastaa wa "So You Think You Can Dance". Michelle alikuwa akisherehekea bethidei ya miaka mitano ya Kampeni yake ya "Let's Move!" yenye lengo la kuondoa vitambi kwa watoto nchini Marekani. Michelle alianzisha kampeni hiyo mwaka 2010 baada ya kuwepo watoto wengi wenye...
10 years ago
GPLCHRISTIAN BELLA 'KING OF THE BEST MELODIES' AAHIDI MAKUBWA SHOO YA VALENTINE'S DAY, DAR LIVE
Christian Bella (kulia) akijibu baadhi ya maswali ya wanahabari (hawapo pichani) kuhusu maandalizi ya shoo yake ya Valentine kwenye Ukumbi wa Dar Live. Bella akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani).…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/JIM-2.jpg)
MPENZI WA MWIGIZAJI JIM CARREY AJIUA BAADA YA 'KUTEMWA'
Cathriona White akiwa na aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni mwigizaji maarufu wa filamu za Hollywood, Jim Carrey. Cathriona White enzi za uhai wake. ....Wakijiachia ufukweni. Nyumba ulimokutwa mwili wa marehemu Cathriona White…
11 years ago
GPL31 Jul
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u0Eb4l7A4EXhsbBtp-EwaaqbCMg-GvR4JTyRhCMogYvMaooDTlRF6PDBaMgaP2UPt8ejLnZbaZZYHvs2U7lMUct*Vl0nU6iV/Mabakiyenyeweyamjusi.jpg?width=650)
'MJUSI' WA TANZANIA AMBAYE MABAKI YAKE YALITOROSHEWA UJERUMANI
Haya ndo mabaki ya Mjusi kama yanavyoonekana Hii ndo sehemu ambako mabaki hayo yalipatikana UKIACHANA na Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro na hata madini ya Tanzanite, je, wajua kuwa Tanzania ina utajiri ambao ungekuwa kivutio kingine kwa watalaa nchini. Kivutio hicho kama kingekuwa hapa nchini ni mabaki ya wanyama aina ya mijusi wakubwa wa walioishi… ...
10 years ago
GPLDC AZINDUA FILAMU YA 'MATESO YANGU UGHAIBUNI', UZINDUZI WAFANA
Mkuu wa Wilaya (DC) Temeke, Mheshimiwa Sophia Mjema akihutubia kwa niaba ya mke wa waziri mkuu, Tunu Pinda, aliyetarajiwa kuwa mgeni rasmi, (hakufika) wakati wa uzinduzi wa filamu hiyo. Muigizaji Esha Buheti akiwa katika zulia jekundu 'red carpet' kwa ajili ya kupiga picha kwenye uzinduzi wa filamu…
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVpsz-sSpGyR-tkxaDTV01JNHpJ8Drh*LLksRTRQICz5GpMkv8MdqL0z5i1Xn*tzyv0Ux1M*wLGWZhhdlv9KqboM/mahaba.jpg?width=650)
UNANG'ANG'ANIA KUPENDA USIKOPENDEKA ILI IWEJE? - 2
WIKI iliyopita tuliianza mada hii ambayo inatufundisha juu ya kutong’ang’ania kupenda pasipopendeka. Unampenda mtu wakati yeye moyo wake haupo kwako, utateseka bure wakati mwenzako wala hayajui mateso unayopitia. Utaambulia maumivu yatakayokugharimu kwa kiasi kikubwa usipokuwa makini, leo tumalizie mada hii kwa kutazama madhara ya kung’ang’ania penzi hilo.
TUENDELEE…...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bAnmdOW7Nah08pHF9vKOC9F9B2xIBHEU7wn-M6eFJU79Ii9yqjw5KpemrM07Z3jIGxjGbZ5sqBAqEYFccgX2ulTaXdDwqdNa/1.jpg?width=650)
BENKI YA NMB YAZINDUA 'MASTERCARD DEBIT' ZINAZOKUBALIKA KIMATAIFA
Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Mhe. Benjamin William Mkapa (katikati) pamoja wakurugenzi wa Benki ya NMB wakikishangilia kikundi cha sanaa kilichotumbuiza wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya MasterCard itakayoanza kutumika kwa mara ya kwanza kwa wateja wake. Hafla hiyo ilifanyika katika hoteli ya Haytt Regency zamani Kilimanjaro, jijini Dar es Salaam. Wadau wa benki ya NMB pamoja na wageni waalikwa wakisikiliza kwa umakini...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania