Nitaimba hata Taarab kama itanilipa – Nay wa Mitego
Baada ya kutoa wimbo mpya, Nyumbani Kwetu, Nay wa Mitego amedai kuwa amepokea changamoto za baadhi ya wasanii kumdiss kuwa amehama kwenye hip hop na kufanya muziki mwingine.
Nay ameiambia Bongo5 kuwa anafanya muziki unaohitajika na mashabiki wake na yupo tayari kuimba hata Taarab kama itamlipa.
“Wapo ambao wanaendelea kudiss nimetoka kabisa kwenye Hip Hop na sipaswi kujiita mwanahiphop. Muziki ndio kazi yangu na ninafanya kile wanachohitaji mashabiki, nitaimba hata Taarab kama itakuwa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo531 Oct
Nitaendelea kufanya Hip Hop hata kama itanilipa au haitanilipa — Stamina
![Stamina](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/10/Stamina3-94x94.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/uX0ODFdMLac405kV7-n-kdbWIUEWU-8Ey8LrGutOXn5cJBZKU6-H67PP7b*sXZXSzVSqkuLWsyS*WtoRhU50GgRVCb2O-RE6/MAMAWEMA.jpg)
KAMA NAMSOMA NAY WA MITEGO KUHUSU BONGO MOVIES!
9 years ago
Bongo506 Jan
Nay Wa Mitego: Mwaka huu nitaachia nyimbo sita badala ya tatu kama watu walivyozoea
![nay new2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/nay-new2-300x194.jpg)
Nay Wa Mitego amesema kuwa moja ya mipango ya kuboresha kazi zake mwaka huu ni pamoja na kuongeza idadi ya nyimbo atakazoachia.
Akizungumza na MTANZANIA, Ney wa Mitego alisema amekuwa akitoa nyimbo mbili au tatu kwa mwaka lakini katika mwaka huu anataka kuachia nyimbo sita.
“Nimekuwa nikitoa nyimbo mbili kwa mwaka au tatu, kwa sasa nataka nizidi kuwapa raha mashabiki wangu kwa mambo mazuri ambayo nimewaandalia mwaka huu, nitaachia nyimbo sita badala ya tatu kama watu walivyozoea,”...
10 years ago
Bongo530 Aug
Usichokifahamu kuhusu ‘concept’ ya video mpya ya Nay wa Mitego ‘Mr Nay’
10 years ago
Bongo523 Aug
Behind The Scenes: Utengenezaji wa video ya Nay Wa Mitego ‘Mr Nay’ nchini Kenya
9 years ago
Bongo519 Nov
Chagga Barbie ndiye ameziba nafasi ya Shamsa Ford kwa Nay Wa Mitego? Nay azungumza
![Chagga na Nay](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Chagga-na-Nay-300x194.jpg)
Jimbo la mapenzi la Nay Wa Mitego liko wazi toka aachane na aliyekuwa cousin mpenzi wake Shamsa Ford, lakini swali ni kwamba ni mrembo gani aliyerithi nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Shamsa ambayo huenda kuna warembo wengi wanaitamani?
Kama unamfatilia Nay Wa Mitego kwenye akunti yake ya Instagram sina shaka utakuwa umeanza kuona dalili za kuwa kuna mpenzi mpya ‘mteule’ anayesubiri ‘kuapishwa’ na kuwa rasmi.
Chagga Barbie sio jina geni, ndio yule aliyezitawala headlines nyingi alipokuwa...
10 years ago
GPL29 Aug
10 years ago
Bongo529 Aug
New video: Nay Wa Mitego — Mr Nay