‘Nitakuwa Mbowe tofauti Chadema’
Mara tu baada ya kuchaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza vita kwa makada na viongozi wa chama hicho, akisema katika awamu yake ya tatu atakuwa Mbowe tofauti.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-G8CHuQ9Is3s/VcDGCkqsYSI/AAAAAAAB9jU/OKZ5lmbh9zY/s72-c/mbowe.jpg)
MSUMARI WA MWISHO KWENYE JENEZA WA MWENYEKITI WA CHADEMA FREEMAN MBOWE KUHUSU LOWASA KUHAMIA CHADEMA LIVE!!
![](http://4.bp.blogspot.com/-G8CHuQ9Is3s/VcDGCkqsYSI/AAAAAAAB9jU/OKZ5lmbh9zY/s640/mbowe.jpg)
"Haukuwa uamuzi rahisi.. Kamati Kuu ilifanya utafiti kwa vikao vingi na mashauriano. Tafiti zilituambia kuwa Edward Lowassa akipeperusha bendera ya Chadema/UKAWA,ndoto ya mabadiliko makubwa nchini itatimia. Kwa Kauli moja, Kamati Kuu iliridhia Edward Lowassa awe mgombea kwa Chadema na baadae tukawauliza wenzetu wa UKAWA kama wanakubali ama kukataa. Wajumbe wote akiwemo Katibu Mkuu Dr W Slaa waliridhia... baadae kuna watu labda wakamshauri vingine... " - Freeman Mbowe.. Mwenyekiti Taifa wa...
10 years ago
Michuzi03 Mar
CHADEMA Red Brigade wala kiapo Mwanza mbele ya Mwenyekiti wa Chadema na Mbunge wa Hai Freeman Mbowe
![](https://3.bp.blogspot.com/-C0hrD70_tH8/VPROrVS30TI/AAAAAAADQM8/u5GW31g2XY0/s1600/red%2Bbrigade2.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-5MF9SQCARvw/VPROrEsFwPI/AAAAAAADQM4/lo1kQV44FSI/s1600/Lwakatare.jpg)
10 years ago
Michuzi15 Sep
MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU WA CHADEMA TAIFA 2014:FREEMAN MBOWE ASHINDA NAFASI YA MWENYEKITI CHADEMA TAIFA, PROFESA ABDALLAH SAFARI MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA
![](https://1.bp.blogspot.com/-VwjPajbyPYM/VBYGNHuHZnI/AAAAAAADDa8/w_3TshBHAoo/s1600/WP_20140914_21_58_12_Pro__highres.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-HG5Aa9bQe-c/VBYGNwW5hgI/AAAAAAADDbI/0LaVyaK69RA/s1600/WP_20140914_22_03_19_Pro.jpg)
![](https://4.bp.blogspot.com/-zkazILlqtYY/VBYGORb9FrI/AAAAAAADDbQ/kDW2ga7xEMw/s1600/WP_20140914_22_03_52_Pro__highres.jpg)
9 years ago
Vijimambo31 Oct
Mbowe na mustakabali wa CHADEMA
Kwa kweli nimesikitishwa sana namna chama mahiri cha upinzani kama CDM kudhalilika kiasi hiki katika uchaguzi huu mkuu. Niliipenda CDM-Asilia lakini ilipoingiliwa na wana CDM-Maslahi niliamua kuitosa na kumpigia debe Magufuli.Uchaguzi umekwisha na tunae Raisi. Je Tunao Upinzani Mahiri Tena?Kwa kweli CDM imeathirika sana na inaweza kumeguka vipande vipande. Kwa sasa naona ACT-Wazalendo wanaweza kupata wafuasi wengi sana na kuwa chama kikuu cha upinzani ifikapo 2020. Sidhani kama tuna upinzani...
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
CHADEMA wamzuia Mbowe
HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amekubali ombi la Wazee la kumtaka atetea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Septemba 14 mwaka huu. Licha ya...
10 years ago
Mwananchi15 Sep
Mbowe tena Chadema
10 years ago
Mtanzania10 Feb
Mbowe: Chadema haitaibiwa kura
Na Debora Sanja, Dodoma
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema chama chake hakipo tayari kuibiwa kura katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu.
Mbowe alitoa kauli hiyo mjini Dodoma juzi, wakati akizindua mafunzo ya kikosi cha ulinzi na usalama cha chama hicho, Red Brigade, kwa vijana 200 kutoka Kanda ya Kati na kikosi maalumu kilichofuzu mafunzo ya karate.
Alisema chama hicho katika uchaguzi ujao, hakitaki kulalamika tena kwamba...
10 years ago
Mtanzania29 Aug
Mbowe: Mimi ni kisiki Chadema
![Freeman Mbowe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Freeman-Mbowe.jpg)
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, ametangaza rasmi kutetea nafasi yake baada ya kuombwa kufanya hivyo na viongozi mbalimbali wa chama hicho.
Pamoja na hilo, pia amewakaribisha wanachama wa Chadema wanaohisi wana uwezo wa kushinda nafasi hiyo kujipima kwake.
Alitangaza uamuzi huo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, baada ya kuchukuliwa fomu na Mwenyekiti wa Baraza...
10 years ago
Mtanzania08 Sep
Mbowe awekewa pingamizi Chadema
![Freeman Mbowe](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Freeman-Mbowe.jpg)
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe
Elizabeth Hombo, Dar es Salaam
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewekewa pingamizi la kutogombea nafasi hiyo kwa awamu ya tatu kwa madai ya kukiuka katiba ya chama hicho na maagizo ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini.
Pingamizi hilo limewekwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Tabora, Kansa Mbarouk, ambaye pia ni mgombea wa nafasi hiyo.
Barua ya Mbarouk yenye kumbukumbu namba Mbarouk/UCH/14 kwenda kwa...