Niyonzima: Simba hii ni noma
![](http://api.ning.com:80/files/kt*hMWIEF*CnbNUvGN4AqnaH4SHtGLmnO4Vo3HNa9YeHx9O3bGN9rzhGcaMZDWYCZljqVBgiakc80fbY35RDOVmIUI-Vm*iP/niyonzi.jpg)
Kiungo mshambuliaji machachari wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima. Na Hans Mloli KIUNGO mshambuliaji machachari wa Yanga, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, ametamka wazi kuwa ameukubali usajili uliofanywa na Simba msimu huu kwa kusajili majembe ya kweli anayoamini yatasumbua vya kutosha msimu ujao. Akizungumza na Championi Jumatano, Niyonzima amesema kwamba wachezaji wengi waliosajiliwa na Simba kipindi hiki anawafahamu na ni...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo30 Dec
Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio)
Siku moja baada ya klabu ya Dar Es Salaam Young African kutangaza maamuzi ya kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa wa Rwanda aliyekuwa anakipiga katika klabu hiyo Haruna Niyonzima. Mengi yameanza kuandikwa na kuulizwa eti klabu ya Simba inamnyatia staa huyo wa Rwanda? Hili ndio jibu la afisa habari wa Simba Haji Manara. “Haruna […]
The post Majibu ya msemaji wa Simba Haji Manara kuhusu Simba kuhusishwa kumsajili Haruna Niyonzima (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ve0GOSCWJah-eT2cUuhmkjZYLf7BErsIjEl86VCu37o5lbpgTaEGn1FTPXQt0bP3tgZ8*7YYY0visSHVAAJVQlE9z7bBZYTm/GHGFDFGG.jpg)
Mghana mpya Simba noma sana
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
VIDEO ya Haina Noma — Julio Batalia Ft Chege na Madee hii hapa
Hatimaye Video ya Haina Noma Ya – Julio Batalia ambaye alikuwa mshiriki wa shindano la BIGBROTHER AFRICA SEASON 7 (StarGame) mwaka 2012 imeshakwisha na video hiyo imekabidhiwa rasmi na director mkubwa wa kampuni ya NEXTLEVEL -Adam Juma (AJ) Akiwa na camera yenye vigezo vikubwa duniani REDCAMERA.
Video hii ambayo wameshirikishwa wasanii wakubwa wawili CHEGE CHIGUNDA kutoka TMK wanaume family na Madee ali Raisi wa Manzese kutoka TIPTOP Connection imeandaliwa katika location ya CLUB 601,...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/szrS1FfaDDJ1AxM30qrOZWwQz1EYXtyv-36NrKDLEkQ77thGg8LbPNO122QCUL3kYYR8hUQ6cVRyJi6evvNH8NDeTRp9MpBZ/noma.jpg)
FIESTA 2014: KAMA NOMA NA IWE NOMA!
9 years ago
MillardAyo23 Dec
TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga …
Mtu wangu wa nguvu najua unashauku ya kutaka kufahamu leo December 23 kuna stori gani katika headlines za soka la Bongo. Huenda ukawa hukupata bahati ya kusoma stori za michezo za magazeti ya leo December 23. Mtu wangu wa nguvu naomba nikusogezee headlines 5 za stori za magazeti ya michezo ya Tanzania. 5- Majabvi amalizana […]
The post TOP 5 Stories: Samatta kapata timu Ulaya, Majabvi kamalizana na Simba, anayefifisha nyota ya Niyonzima Yanga … appeared first on TZA_MillardAyo.
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba …
Baada ya stori nyingi kuingia katika headlines kwa siku za hivi karibuni kuhusu uamuzi wa moja kati ya mabilionea wa Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, mengi yameandikwa na mengi yameongewa, najua unahitaji kufahamu kuhusu stori za bilionea Mohamed Dewji ambaye maarufu kama MO kuweka bayana dhamira yake ya kutaka kuinunua Simba kupitia kipindi cha […]
The post Baada ya headlines za bilionea wa 24 Afrika kutaka kuinunua klabu ya Simba, hii ndio kauli rasmi ya Simba … appeared first on...
11 years ago
Tanzania Daima22 Apr
Hatima ya Loga Simba wiki hii
HATIMA ya Kocha Mkuu wa Simba, Zdravko Logarusic, raia wa Crotia kuendelea kutanua viunga vya Msimbazi sasa inatarajiwa kujulikana mwishoni mwa wiki hii. Loga alitua Msimbazi mzunguko wa pili wa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-7luXFOoEHxg/VPnErW1k6kI/AAAAAAAHIDA/r-NZAA8bTk0/s72-c/YangaSimba.jpg)
KUZIONA SIMBA NA YANGA JUMAPILI HII NI BUKU 7 TU
![](http://2.bp.blogspot.com/-7luXFOoEHxg/VPnErW1k6kI/AAAAAAAHIDA/r-NZAA8bTk0/s1600/YangaSimba.jpg)
Mchezo huo utachezeshwa na mwamuzi Martin Saanya kutoka Morogoro, akisaidiwa na Soud Lila (DSM) mshika kibendera wa kwanza, Florentina Zabron (Dodoma) mshika kibendera wa pili, Mwamuzi wa akiba Israel Mjuni (DSM), na kamisaa wa mchezo ni Ame Santimeya (DSM).
Viingilio vya mchezo...