NJOMBE NA IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI MEMBE ILI AGOMBEE URAIS WA TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GWZ9cZO4dTg/VXlAZEDlTMI/AAAAAAADrFo/nbEIL3zR54c/s72-c/1.jpg)
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (kulia) akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Mkoa wa Njombe, waliofika kwenye Ofisi ya CCM Wilaya ya Njombe Jana, kwa ajili ya kutia saini fomu za kumdhamini ili ateuliwe kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 360.Picha zote na John Badi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-X7SUs3mCSzU/VXkoHgUo16I/AAAAAAABhfc/DrhTbFCNXts/s72-c/1.jpg)
WANANJOMBE NA IRINGA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI MEMBE ILI AGOMBEE URAIS WA TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-X7SUs3mCSzU/VXkoHgUo16I/AAAAAAABhfc/DrhTbFCNXts/s640/1.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-KWIJW_s8LWs/VXkokGPx2UI/AAAAAAABhfs/GecG_wQVNgE/s640/1B.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-h5BEy0lDsPU/VXkoUFD6jlI/AAAAAAABhfk/A8YfeefgQos/s640/2A.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-FSVmZMRaklo/VXkol1r8KII/AAAAAAABhf8/oQ-xMPd8vOU/s640/2B.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/--nK6gGTlrM4/VYtARSg0zLI/AAAAAAADtYc/h66fP5pkYlc/s72-c/1A.jpg)
MOROGORO WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI BERNARD MEMBE
![](http://4.bp.blogspot.com/--nK6gGTlrM4/VYtARSg0zLI/AAAAAAADtYc/h66fP5pkYlc/s640/1A.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WP8LGUeJdiA/VYtATP5_lPI/AAAAAAADtY8/NdCBlgpJ320/s640/2A.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-KOuhvdRBc-o/VYbBbF3pyXI/AAAAAAADtBs/UroUJq25H2M/s72-c/1.jpg)
MKOA WA MARA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI BERNARD MEMBE
![](http://4.bp.blogspot.com/-KOuhvdRBc-o/VYbBbF3pyXI/AAAAAAADtBs/UroUJq25H2M/s640/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-mFrMb-DbFoY/VYbBbPHtMFI/AAAAAAADtB0/0YnA_zBMfAc/s640/3.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-S-89NlP7_Ug/VYf31akfJsI/AAAAAAADtPA/FxvTge48pyA/s72-c/1.jpg)
MWANZA WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI BERNARD MEMBE
![](http://4.bp.blogspot.com/-S-89NlP7_Ug/VYf31akfJsI/AAAAAAADtPA/FxvTge48pyA/s640/1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1y7LmtByZkk/VYf33NteqnI/AAAAAAADtPQ/HGorF1D-TQs/s640/2.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-sr2BXEJmQ28/VYMHVR3Pb6I/AAAAAAAHhOU/-Wawul2RObA/s72-c/unnameda.jpg)
MOROGORO WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI WAZIRI MAGUFULI
![](http://4.bp.blogspot.com/-sr2BXEJmQ28/VYMHVR3Pb6I/AAAAAAAHhOU/-Wawul2RObA/s640/unnameda.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-5o26U77YhV0/VYMHVUuKHII/AAAAAAAHhOI/O-jeLmmOwGQ/s640/unnamedb.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-KnTeHeE-tlE/VYMHVdJZzpI/AAAAAAAHhOE/ZqQOXkONW1Y/s640/unnamedc.jpg)
10 years ago
Habarileo13 Jun
380 wajitokeza kumdhamini Membe Iringa
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amepata wadhamini 380 mkoani Iringa katika harakati zake za kuomba kuteuliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cxeL6-vd8lY/Xu0IJiyqe_I/AAAAAAALurs/Tcz1Eaw6EOoBJ3giKaCfVpTXEWqUzO_0wCLcBGAsYHQ/s72-c/730618f6-61b0-4672-9ca3-bb8344e72946.jpg)
WANA CCM MANYONI WAJITOKEZA KWA WINGI KUMDHAMINI RAIS DKT MAGUFULI
![](https://1.bp.blogspot.com/-cxeL6-vd8lY/Xu0IJiyqe_I/AAAAAAALurs/Tcz1Eaw6EOoBJ3giKaCfVpTXEWqUzO_0wCLcBGAsYHQ/s640/730618f6-61b0-4672-9ca3-bb8344e72946.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/a9285cc7-b91f-48ed-b1fc-cca10e829e47.jpg)
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Wananchi wa mkoa wa Lindi wajitokeza kwa wingi usiku wa shamra shamra za “Twende na Membe”
![](http://4.bp.blogspot.com/-09pu1e-KpwU/VXOGF3JbPJI/AAAAAAABhGY/iwiaCoX5z0U/s640/IMG_1984.jpg)
Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Wananchi wamejitokeza kwa wingi huku msanii mzee Yusuph na kikundi cha ngoma ya Deda wakitoa burudani ya kijadi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Byvk5GOyKag/VXOGIkYOzvI/AAAAAAABhGg/2uB3QA03ORQ/s640/IMG_1990.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-mxN7gM24wqM/VXOGKLBs9zI/AAAAAAABhGo/UrPTe6QraOA/s640/IMG_1992.jpg)
Wananchi waliojitokeza katika Shamra Shamra za kumpokea kesho Mheshimiwa Bernard Membe wakati atakapotangaza nia ya Urais 2015.
![](http://4.bp.blogspot.com/-mVtN5PbBYsA/VXOGCC0zuwI/AAAAAAABhGE/M6ALoAm5v9Q/s640/IMG_1960.jpg)
![IMG_1957](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_1957.jpg)
![IMG_2037](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_2037.jpg)
![IMG_2047](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_2047.jpg)
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-09pu1e-KpwU/VXOGF3JbPJI/AAAAAAABhGY/iwiaCoX5z0U/s640/IMG_1984.jpg)
WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAJITOKEZA KWA WINGI USIKU WA SHAMRA SHAMRA ZA TWENDE NA MEMBE