Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NKWABI NG’WANAKILALA ALIVYOZIKWA JIJINI DAR LEO

Picha ya marehemu Nkwabi Ng’wanakilala enzi za uhai wake. Jeneza lenye mwili wa Nkwabi likiwa kaburini. Mke wa marehemu (katikati) akiongozwa kuweka mchanga katika kaburi la mumewe.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Nkwabi Ng’wanakilala kuzikwa Dar

MWILI wa nguli katika tasnia ya habari aliyeandikwa vitabu vingi vinavyotumika kufundishia uandishi wa habari nchini, Nkwabi Ng’wanakilala aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza unatarajiwa kuzikwa Dar es Salaam.

 

11 years ago

We Will Never Forget You

Nkwabi Ng'wanakilala


Daily News
Nkwabi Ng'wanakilala - We Will Never Forget You
AllAfrica.com
JUNE 28, 2014, was a sad day to many in the media and even stakeholders. This is the day when death grabbed from the media fraternity a hard working teacher, lecturer and journalist, who dedicated a larger part of his life serving the public and publishing ...
Kikwete pays glowing tribute to Ng'wanakilalaDaily News

all 6

 

11 years ago

GPL

NKWABI NG’WANAKILALA AZIKWA

Marehemu Nkwabi Ng’wanakilala enzi za uhai wake. MHADHIRI Mwandamizi Idara ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma, Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Tanzania (Saut), Nkwabi Ng’wanakilala, amezikwa leo katika shamba lake lililopo Kibamba-Mloganzila jijini Dar es Salaam. Marehemu alifariki dunia Juni 28 mwaka huu katika Hospitali ya Rufaa Bugando mkoani Mwanza alipokuwa akitibiwa baada ya kufanyiwa upasuaji...

 

11 years ago

Habarileo

Nkwabi Ng’wanakilala azikwa shambani kwake

WANATAALUMA wa Tasnia ya Habari na wakazi wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza kwa wingi katika maziko ya nguli wa tasnia ya habari, Nkwabi Ng’wanakilala aliyezikwa shambani kwake Kibamba CCM katika Manispaa ya Kinondoni.

 

11 years ago

Michuzi

JK aomboleza kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala

Nkwabi-Ng’wanakilalaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Bwana Nkwabi Ng’wanakilala.Bwana Ng’wanakilala ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki kwenye Hospitali ya Rufani ya Bugando mjini Mwanza kwa matatizo ya figo na tumbo, alizikwa  Jumatatu, Julai Mosi, 2014, nyumbani kwake Kibamba, Dar es Salaam.Katika salamu ambazo amemtumia Mkuu wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Nkwabi Ng’wanakilala afariki dunia Mwanza

Mhadhiri Mwandamizi Idara ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma, Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Tanzania (Saut), Nkwabi Ng’wanakilala, amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa Bugando.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

JK atuma salamu za rambirambi kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala


Na Mwamvua Mwinyi
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri wa  Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine, Nkwabi Ng’wanakilala.
Ng’wanakilala alifariki dunia Juni 27, mwaka huu katika hospitali ya rufani Bugando, jijini Mwanza, baada ya kusumbuliwa na figo.
Katika salamu zilizotumwa  kwa Mkuu wa chuo hicho, Askofu Trcisius Ngalalekumtwa, Rais Kikwete, alisema kifo hicho kimelinyang’anya taifa mwana taaluma mahiri wa habari na mtumishi...

 

11 years ago

Michuzi

Mazishi ya Mwanahabari Nguli nchini, Mzee Nkwabi Ng’wanakilala

Mwanahabari wa Reuters nchini Bw. Fumbuka Ng’wanakilala (aliyebeba msalaba), pamoja na wadogo zake, Lugendo  (kushoto) na Manyanda (kulia), wakiwaongoza waombolezaji waliobeba jeneza lenye mwili wa Baba yao, Marehemu Mwl. Nkwabi Ng’wanakilala baada ya kuwasili nyumbani kwao Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam Julai 01 mwaka huu, kwa ajili mazishi. 
Mwl. Ng’wanakilala, ambaye alikuwa Mhadhiri katika Idara ya Habari na Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT),...

 

11 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aomboleza kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala

Nkwabi-Ng’wanakilala

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Bwana Nkwabi Ng’wanakilala.

Bwana Ng’wanakilala ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki kwenye Hospitali ya Rufani ya Bugando mjini Mwanza kwa matatizo ya figo na tumbo, alizikwa jana, Jumatatu, Julai Mosi, 2014, nyumbani kwake Kibamba, Dar es Salaam.

Katika salamu ambazo amemtumia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani