Nkwabi Ng’wanakilala afariki dunia Mwanza
Mhadhiri Mwandamizi Idara ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma, Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Tanzania (Saut), Nkwabi Ng’wanakilala, amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa Bugando.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
We Will Never Forget You03 Jul
Nkwabi Ng'wanakilala
Daily News
AllAfrica.com
JUNE 28, 2014, was a sad day to many in the media and even stakeholders. This is the day when death grabbed from the media fraternity a hard working teacher, lecturer and journalist, who dedicated a larger part of his life serving the public and publishing ...
Kikwete pays glowing tribute to Ng'wanakilalaDaily News
all 6
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxwmG-bdfCR*1U5AeJaOW0muZqcwzgQi9-2LRjEs8Egz2twgP0MsykH*A4Q20ZB9240I3vW-KMrAEPouCQxuKD*i/NKWABINGWANAKILALA2.jpg?width=650)
NKWABI NG’WANAKILALA AZIKWA
11 years ago
Habarileo29 Jun
Nkwabi Ng’wanakilala kuzikwa Dar
MWILI wa nguli katika tasnia ya habari aliyeandikwa vitabu vingi vinavyotumika kufundishia uandishi wa habari nchini, Nkwabi Ng’wanakilala aliyefariki dunia usiku wa kuamkia jana katika Hospitali ya Rufaa ya Bugando, Mwanza unatarajiwa kuzikwa Dar es Salaam.
11 years ago
Michuzi03 Jul
JK aomboleza kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala
![Nkwabi-Ng’wanakilala](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/Nkwabi-Ng%E2%80%99wanakilala.jpg)
11 years ago
Habarileo02 Jul
Nkwabi Ng’wanakilala azikwa shambani kwake
WANATAALUMA wa Tasnia ya Habari na wakazi wa jijini Dar es Salaam jana walijitokeza kwa wingi katika maziko ya nguli wa tasnia ya habari, Nkwabi Ng’wanakilala aliyezikwa shambani kwake Kibamba CCM katika Manispaa ya Kinondoni.
11 years ago
Uhuru Newspaper02 Jul
JK atuma salamu za rambirambi kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala
Na Mwamvua Mwinyi
RAIS Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine, Nkwabi Ng’wanakilala.
Ng’wanakilala alifariki dunia Juni 27, mwaka huu katika hospitali ya rufani Bugando, jijini Mwanza, baada ya kusumbuliwa na figo.
Katika salamu zilizotumwa kwa Mkuu wa chuo hicho, Askofu Trcisius Ngalalekumtwa, Rais Kikwete, alisema kifo hicho kimelinyang’anya taifa mwana taaluma mahiri wa habari na mtumishi...
11 years ago
GPLNKWABI NG’WANAKILALA ALIVYOZIKWA JIJINI DAR LEO
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ufqkcEoNgi8/U7WxoLXqORI/AAAAAAAAiVs/4_TZbXYL4wc/s72-c/1XX.jpg)
Mazishi ya Mwanahabari Nguli nchini, Mzee Nkwabi Ng’wanakilala
![](http://4.bp.blogspot.com/-ufqkcEoNgi8/U7WxoLXqORI/AAAAAAAAiVs/4_TZbXYL4wc/s1600/1XX.jpg)
Mwl. Ng’wanakilala, ambaye alikuwa Mhadhiri katika Idara ya Habari na Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT),...
11 years ago
Dewji Blog02 Jul
Rais Kikwete aomboleza kifo cha Nkwabi Ng’wanakilala
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salamu za rambirambi kuomboleza kifo cha mwandishi wa habari mkongwe na mhadhiri mwandamizi katika Chuo Kikuu cha Mt. Augustine, Bwana Nkwabi Ng’wanakilala.
Bwana Ng’wanakilala ambaye alifariki dunia mwishoni mwa wiki kwenye Hospitali ya Rufani ya Bugando mjini Mwanza kwa matatizo ya figo na tumbo, alizikwa jana, Jumatatu, Julai Mosi, 2014, nyumbani kwake Kibamba, Dar es Salaam.
Katika salamu ambazo amemtumia...