Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NLD: Wananchi wanahitaji mabadiliko ya msingi

WAKATI Bunge la Mabadiliko ya Katiba likikutana huko Dodoma, visiwani Zanzibar kumejitokeza maoni tofauti kuhusiana na kipengele cha mfumo wa Muungano  wa serikali tatu. Wabunge kutoka vyama vya siasa na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Deo Meck: Watanzania wanahitaji mabadiliko

Mwaka 1995 wakati akihutubia mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwalimu Julius Nyerere alisema mgombea urais kupitia chama hicho anatakiwa kukidhi matarajio ya Watanzania na siyo anayekidhi matarajio ya wachache wenye fedha zao.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenye ulemavu bado wanahitaji mabadiliko rasimu ya Katiba mpya

HIVI karibuni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, aliwakabidhi rasimu ya pili ya Katiba mpya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,...

 

9 years ago

Dewji Blog

LOWASSA Aongoza wananchi kutoa heshima za mwisho za marehemu Dkt.Emmauel John Makaidi aliyekuwa Mwenyekiti chama cha NLD

msiba lows

Mh.Edward Lowassa akitoa heshima za mwisho katika geneza liloweka mwili wa Shujaa wa Mabadiliko Dkt.Emmanuel Mkaidi  katika viwanja vya karimjee jijini Dar -es- Salaam leo Oct 20,2015.

regina

Mke wa Mh.Edward Lowassa Mma Regina akisalimi na mjane wa Dkt Mkaidi katika msiba wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Dkt. Emmanuel Makaidi katika viwanja vya karimjee Oct 20,2015.

msiba mbowe

Mh.Mmbowe Mwenyekiti wa Chadema wakisalimiana na katibu mkuu wa TFF  Selestine Mwesigwa mara baada ya kutoa heshma za mwisho wa pili...

 

10 years ago

Vijimambo

Mabadiliko ya mara kwa mara ya Mitaala shule za Msingi inawachanganya wanafunzi.


Fikra Pevu
BAADHI ya Walimu wa Shule za Msingi katika jiji la Dar es Salaam wamelalamikia mabadiliko ya mara kwa mara ya mitaala kwa shule za msingi pamoja na idadi kubwa ya masomo kwa wanafunzi wa madarasa yote na kwamba yamekuwa yakiwachanganya wanafunzi na kuwafanya washindwe kumudu masomo yao.

Wakizungumza kwa nyakati tofauti na FikraPevu jijini humo Novemba 17, 2014 walimu hao wamesema mabadiliko ya mara kwa mara kwa mitaala yanayofanywa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi bila...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wananchi waaswa kuunga mkono mapambano mabadiliko tabia nchi

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira, Binilith Mahenge, amewataka wananchi kuunga mkono juhudi za serikali na Bara la Afrika katika kupambana na changamoto za mabadiliko ya tabia...

 

5 years ago

Michuzi

Wananchi Watakiwa kutunza mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi


Na Woinde Shizza , ARUSHA

BARAZA la Taifa la hifadhi na usimamizi wa Mazingira Kanda ya kaskazini (NEMC) limewataka wananchi kutunza mazingira ili kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi.

Akizungumza na waandishi wa habari  leo Meneja Meneja wa kanda ya kaskazini Lewis Nzali alisema uharibifu wa mazingira unachangia kwa kiasi kikubwa kupoteza kwa baadhi ya viumbe hai maarufu kama bionuai pamoja na hali ya jangwa na ukame.

Alisema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto kubwa ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwakilishi Mkazi wa UNDP nchini ataka wananchi wa vijijini wasaidiwe kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi

IMG_4025

Mratibu  wa  mradi  wa  kudhibiti  wanyama  wakali  kwa kutumia   waya  na   mitii  maalumu  inayohimili  ukame  unaofadhiliwa na UNDP  Dr. Maurus  Msuha akitoa maelezo kwa Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez (kulia) alipotembelea miradi mbalimbali inayofadhiliwa na shirika la UNDP  wilayani Longido  mkoani  Arusha  katika  ziara  yake  ya  siku mbili mara baada ya kuwasili wilayani humo....

 

11 years ago

Michuzi

meya wa ilala mstahiki jerry slaa atoa wito wananchi kuzingatia mabadiliko ya baadhi ya njia ya mabasi dar es salaam

Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Bw. Jerry Silaa akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati akitoa wito kwa wananchi jijini kuzingatia alama mpya za mabadiliko ya baadhi ya njia ya za mabasi ya daladala na magari madogo yanayotazamiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu.  Pamoja na matayarisho ya kuanza kwa awamu ya kwanza ya mradi wa mabasi yaendayo haraka (BRT), mabadiliko hayo yanatarajiwa kupunguza msongamano katika jiji hilo.

 

9 years ago

Habarileo

Makaidi wa NLD afariki

MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha National League for Democracy (NLD), Dk Emmanuel Makaidi (74), ambaye pia alikuwa mgombea ubunge wa Jimbo la Masasi mkoani Mtwara kwa tiketi ya chama hicho, amefariki dunia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani