Noto ya Salomon Kalou
Salomon Kalou anataka kuwa miongoni mwa timu ya kwanza ya Afrika kufika nusu fainali za kombe la dunia
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/77288000/jpg/_77288754_hi022872822.jpg)
Forward Kalou joins Hertha Berlin
9 years ago
Dewji Blog12 Nov
Ivory Coast kuwakosa Bony, Kalou na Toure katika mchezo wao wa kufuzu kombe la dunia Urusi 2018
Mchezaji wa Ivory Coast, Wilfred Bony
Na Rabi Hume
Timu ya Taifa ya Ivory Coast itakosa huduma ya wachezaji wake watatu muhimu katika mchezo wa kutafuta nafasi ya kucheza kombe la dunia dhidi ya Liberia.
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Ivory Coast, Michael Dussuyer amewataja wachezaji hao kuwa ni Wilfred Bony, Solomon Kalou na Thomas Toure.
Kocha Dussuyer amesema tayari tayari ameita wachezaji wengine ambao watazipa nafasi zao ambao ni mshambuliaji Roger Assele na beki Arthur Baka ambao...