Nuh Mziwanda adai aliambiwa ili asaidiwe kimuziki inabidi asafirishe unga
Baada ya Shilole kudai kuwahi kushawishiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya katika muziki wake, mpenzi wake Nuh na yeye amekiri kukutana na changamoto hiyo hiyo.
Akizungumza kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio, Nuh alisema kama angekuwa anataka mafanikio ya haraka angekuwa ameshapotea.
“Wengi waliokuja walikuwa wananiambia issue za kuuza madawa ya kulevya, nianze kusafiri ili niweze kupata pesa ya kuendeleza muziki wangu,” alisema Nuh.
Aliongeza, “Mimi ni...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo509 Sep
Nuh Mziwanda adai BASATA wamemalizana na Shilole, wao wakanusha
10 years ago
Bongo522 Dec
‘Ndoa inafuata’ adai Nuh Mziwanda baada ya kumvisha pete ya uchumba Shilole
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/*SUYvb1OXSvIEXWXlijDY1LB5JTd3idxJyON9kxtK77yOWCXs2m3qwXZ7CUq5UNGnxkrRkkxh*bdQeUIrxZw8tHY2LELpEZb/shilole.jpg)
SHILOLE, NUH MZIWANDA
10 years ago
CloudsFM13 Mar
Snura amponda Nuh Mziwanda
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09WaqcM-rvKvXtqtFJaSeozlRssW5NGMky5cfXjhl1Njuz0btnLtIdYE9SoKliB0WwJB*R8zAW7Zwh0BphL448dP/images_087.jpg)
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09VMyJLhG1dd14bLOeNGdxI5BKixOmoRiWtRnhLlTyLeILdIOSBM7O-WzL3mk9TTs10CbPnDjJA1J9q-hJpBTmV5/images_089.jpg)
![](http://api.ning.com/files/d*xx8iAX09V8AL02TNtF0sRwHqNH0cPyLmqQ-oC*XKZMWpHBtrKMP2aBiCguzDKqXVQb7nK4PBTU9XFTJTkm6bm*UjioLsxm/snura1.jpg?width=750)
10 years ago
CloudsFM26 Feb
Shilole: Marafiki wananigombanisha na Nuh Mziwanda
MSANII wa muziki na mwigizaji wa filamu za Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’, ameamua kuweka wazi chanzo cha migogoro yake na mumewe mtarajiwa, Nuh Mziwanda kuwa ni marafiki.
10 years ago
GPL08 Jun
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/lihD20i2jrwCJeAU45o*lOdnycaMPxKqQnnjsJcIlZXql19Ok3zh3pq9Vp-W1-In1DfNFU2ViQrwlM*B64dYsYatVY7kHJ9L/66.jpg?width=650)
SHILOLE: SASA NAMZALIA NUH MZIWANDA