Nuh Mziwanda: Sioni tatizo kwa msanii kuonesha mahaba kwa chama anachokipenda
Nuh Mziwanda amewataka wasanii kuwa wazalendo kwa kuonyesha hisia zao za vyama vya siasa na kuonyesha ushirikiano katika kuhamasisha. Akizungumza na Planet Bongo ya East Africa Radio leo, Nuh alisema maendeleo yatakayopatikana ni manufaa kwa watanzania wote kwa ujumla. “Wewe ukiwa msanii sio kwamba sio mwananchi wa kawaida,” alisema. “Wewe pia unahitaji kutawaliwa vizuri. Unahitaji […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies16 Sep
Tabora wamkataa msanii Nuh Mziwanda. Wasema hawezi kuwa mume wa Shilole.
Nuh Mziwanda jana alijikuta katika wakati mgumu mjini Tabora baada ya Shilole kuwauliza wakazi wa mkoa huo anakotokea iwapo Nuh Mziwanda anafaa kuwa mume wake.
Shilole ambaye ni mchumba wa Nuh alifunguka mbele ya mashabiki wa Tabora waliokuwa wamefurika kushuhudia show ya Serengeti Fiesta kutaka kujua kama wanamtaka Nuh Mziwanda awe shemeji yao kitu ambacho mashabiki hao walikataa
Mbaya zaidi kwa Nuh, mashabiki hao walimpendekeza DJ Zero kuwa ndiye mwanaume wanayemtaka awe shemeji yao....
10 years ago
Bongo Movies19 Jun
‘Ramadhani’ Yamfanya Nuh Mziwanda Kuondoka kwa Shilole
Mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani umemfanya msanii wa Bongo Fleva,Nuh Mziwanda kuondoka nyumbani kwa mpenzi ambaye ni msanii,Shilole ili kumpisha mpenzi wake afunge kwani hawajafunga ndoa.
Shilole ameyazungumza hayo wakati akizungumza na Clouds Fm,ratiba yake nzima ya mapishi kwenye mwezi Mtukufu na kusema kuwa mwezi huu wa Ramadhani ameacha kufanya vitu vyote vya starehe na ndiyo maana hata mpenzi wake Nuh ameondoka nyumbani kwake ili asiharibu funga yake.
‘’Nuh ameondoka nyumbani...
10 years ago
Bongo528 Jan
Shilole aomba radhi kwa kumdunda Nuh Mziwanda
10 years ago
Vijimambo12 Feb
Siwezi kuacha toto zuri Shilole kwa kibao tu-Nuh Mziwanda
![](http://www.bongomovies.com/public/uploads/shiloleee.jpg)
Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.
10 years ago
VijimamboSHILOLE NA NUH MZIWANDA WATUA UBELGIJI TAYARI KWA SHOW YA JUMAMOSI 9.5.2015
[picha na Maganga One...
10 years ago
Bongo Movies20 Jun
Baada ya Kushambuliwa kwa Kumpa Break Nuh Mziwanda, Shilole Ajibu Mapigo
Baada ya Shilole kutangaza kumpa break mwenzi wake Nuh Mziwanda kwa muda wa mwezi huu mzima, wakitarajia kuendeleza malavi davi yao baada ya kipindi hiki kitakatifu kupita, baadhi ya mashabiki ambao wanajinasibu kuijua dini wamekuwa wakimshambulia Shilole kwa maneno kwenye mitandao ya kijamii kuwa kitendo cha kutaka kumrudia tena Miziwanda bila ndoa sio sawa kwa upande wa dini na wengine kwenda mabli zaidi na kudai hata kazi yake ya sanaa ambayo humfanya kukata maouno pia haifai, kitendo...
10 years ago
Bongo Movies12 Feb
VIJIMAMBO: Siwezi kuacha toto zuri Shilole kwa kibao tu-Nuh Mziwanda
Mara baada ya kutupia picha hiyo hapo juu akiwa na mchumba wake Shilole, Nuh Mziwanda alibandika pandiko hili
“Oooh muache muache!!nimuache nimuachie nani kwa mfano mtoto mkali kama huyu.mnataka valentine day nihesabu mabati nini.aaaah tusitaniane jamani.je ungekua wewe ungeacha toto hili kwa kibao tu jamani.waniache tu”-Mziwanda alimaliza.
Kila la kheri kijana, tunakuombea Shilole asikuache kwasababu wewe umesema hauwezi kumuacha toto.
10 years ago
GPLNUH MZIWANDA NA SHILOLE WATUA NCHINI UBELGIJI TAYARI KWA SHOW YAO YA JUMAMOSI 9.5.2015
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/-ItuYJwOLAQ/default.jpg)
SAUTI YA NUH MZIWANDA AKIMTONGOZA WEMA YAVUJA ISIKILIZE NA PIA TUMEKUWEKEA SENTENSI KWA AJILI YA KUZISOMA
Kwa jinsi teknolojia ilivyokua watu wanapaswa kuwa makini sana kwa simu wanazopiga na maneno wanayoongea.Nuh Mziwanda amejikuta akiumbuka vibaya baada ya Wema Sepetu kuvujisha sauti anayosikika akimtongoza mrembo huyo. Mazungumzo hayo yanachekesha sana hasa kutokana na mistari anayompa Miss Tanzania huyo wa zamani. Haya ni maongezi yaliyofanyika mwezi June (siku moja kabla ya KTMA 2015). Tunafahamu wapo wasioweza kusikiliza clip yote hivyo tumekuandikia mazungumzo hayo. Nuh Mziwanda: Kuna ua...