Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nyota wa EBSS apeleka sononi video ya ‘Leo ni leo’

MSHINDI wa Epiq Bongo Star Search (EBSS) mwaka huu, Emmanuel Msuya, kesho anatarajia kuanza kuisambaza video ya ngoma yake ya ‘Leo ni Leo’ ikienda sambamba na sherehe ya kuadhimisha siku...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Taifa Stars kusafisha nyota leo?

Taifa Stars inahitaji kusafisha nyota leo mbele ya mashabiki wa soka mkoani Mbeya na Tanzania kwa ujumla kwa kuitandika Malawi ‘The Flame’ katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki utakaochezwa kwenye Uwanja wa Sokoine jijini hapa

 

9 years ago

Michuzi

nyota wa muziki wa dansi na taarabu kutambulisha wimbo wa "amani kwanza' leo mango garden jijini Dar es salaam

Wimbo maalum wa kuhimiza amani kabla na baada ya uchaguzi mkuu, utawekwa rasmi hadharani mbele ya waandishi wa habari Jumanne hii.

 Wimbo huo uliopewa jina la “Amani Kwanza” utapigwa ‘live’ kwa mara ya kwanza mbele ya wana habari ndani ya ukumbi wa nyuma wa Mango Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 6 mchana. “Amani Kwanza” ni ngoma iliyopigwa katika miondoko ya rhumba ikiwa imeshirikisha nyota wengi wa muziki wa dansi chini ya umoja  wa muda wa wanamuziki wa dansi na...

 

11 years ago

Michuzi

BAADA YA SHINYANGA,MWANAMUZIKI NYOTA WA INJILI KUTOKA AFRIKA KUSINI REBECCA MALOPE KUTUMBUIZA JIJINI MWANZA LEO



Mwimbaji Mahiri wa muziki wa nyimbo za Kiroho a.k.a Injili,Rose Muhando akiimba wimbo wake mpya wa Facebook na Twitter mbele ya mashabiki wake,katika uwanja wa Kambarage mapema jioni ya leo mkoani Shinyanga,ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa tamasha la Pasaka.Tamasha hilo linaloandaliwa na Msama Promotions Ltd  kesho jumapili linaendelea katika uwanja wa CCM Kirumba jijiini Mwanza,ambapo Nyota wa Nyimbo za Injili kutoka nchini Afrika Kusini,Rebecca Malope atawatumbuiza wakazi wa jiji hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani