OMMY DIMPOZ, IDRIS WAWASHITUKIZA WANAFUNZI MBEZI HIGH SCHOOL
Ommy Dimpoz akizungumza mbele ya wanafunzi wa Mbezi High School walipofika hapo na Idris kuwapa moyo na kutoa shukurani zao kwa kwa sapoti wanayoendelea kuwapa hususan katika fani yake ya muziki. …
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I3dypOdGvF2OSlTY-J2VvXndKU20E*xh8HMounyzkqg5BexEWge3LhYqs6r0-owQ2*6fV4s4-g0rIb1iyARTf3PG2vDoceGZ/Untitled1.jpg)
OMMY DIMPOZ, IDRIS WAWALIZA WALIMU WAO
10 years ago
VijimamboWANAFUNZI WA CARMAN AINSWORTH HIGH SCHOOL WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC.
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
10 years ago
Michuzi10 Aug
WANAFUNZI WALIOSOMA ST JOSEPH CATHEDRAL HIGH SCHOOL WAKUTANA JIJINI DAR ES SALAAM, KUZINDUA CHAMA SEPTEMBA 26/2015 KARIMJEE
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/08/166.jpg)
9 years ago
ABC Online28 Nov
Revisiting the School of St Jude, the Tanzanian high school Australians helped ...
ABC Online
ABC Online
As a journalist, it is not often you get to see a tangible example of the effect your work can have. Sometimes you hope that a particular story will achieve something — expose an injustice or bring about much-needed change, but most of the time, the ...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/QLbL-lpQ9bY/default.jpg)
10 years ago
GPL20 Jan
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Ommy Dimpoz kuwapenda wanaomchukia
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema hakuna haja ya kuwajengea chuki watu wanaojifanya kukupenda lakini hawafurahishwi na mafanikio yako.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Dimpoz ambaye alishindwa kufanya shoo nchini Marekani kutokana na visa yake kuwa na mapungufu, alisema imekuwa ni jambo la kawaida wasanii kuchukiwa bila sababu za msingi.
“Unajua mara nyingi unapoamua kuweka chuki sababu ya watu fulani ambao...