Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ommy Dimpoz kutumbuiza jijini Rotterdam, Uholanzi November 1

Mashabiki wa Ommy Dimpoz kwenye jiji la pili kwa ukubwa nchini Uholanzi, Rotterdam wanatarajia kumshudia live akitumbuiza hits zake kibao zikiwemo ‘Me and You’, ‘Tupogo’ na ‘Ndagushima’. Pamoja na kuwa jiji la pili kwa ukubwa baada ya Amsterdam, Rotterdam ni miongoni mwa bandari kubwa zaidi duniani. Show hiyo itafanyika November 1.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

CloudsFM

Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.

Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...

 

10 years ago

Bongo5

Davido kutumbuiza Dar November 1 kwenye ‘The Climax’ , tamasha jipya la Times FM

Mshindi wa tuzo za BET 2014 na MTV (MAMA), Davido wa Nigeria anatarajiwa kutua tena Tanzania mwishoni mwa mwezi huu, na tayari imefahamika kuwa mkali huyo atatumbuiza kwenye tamasha jipya la ‘The Climax’ litakalofanyika November 1 jijini Dar. Kwa mujibu wa tovuti ya Times Fm, Tamasha hilo limeandaliwa na kituo cha radio Times Fm na […]

 

10 years ago

GPL

10 years ago

Mtanzania

Ommy Dimpoz kuwapenda wanaomchukia

dimpozNA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema hakuna haja ya kuwajengea chuki watu wanaojifanya kukupenda lakini hawafurahishwi na mafanikio yako.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Dimpoz ambaye alishindwa kufanya shoo nchini Marekani kutokana na visa yake kuwa na mapungufu, alisema imekuwa ni jambo la kawaida wasanii kuchukiwa bila sababu za msingi.
“Unajua mara nyingi unapoamua kuweka chuki sababu ya watu fulani ambao...

 

10 years ago

Mtanzania

Mashabiki wamkera Ommy Dimpoz

ommyNA JUMA HEZRON, TSJ
MSANII wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anachukizwa na tabia ya mashabiki ambao wamekuwa wakifanya fujo kwenye shoo mbalimbali za wasanii.
Akizungumza na MTANZANIA leo, Ommy Dimpoz alisema kitendo hicho siyo cha kiungwana, mashabiki wamekuwa wakikosea na kuwavunjia heshima wasanii.
“Mashabiki wanatuogopesha, imekuwa kama jambo la kawaida kutufanyia vurugu na kusahau kuwa tunafanya shoo ili kuwapa burudani,” alisema Ommy Dimpoz.
Alisema mashabiki na...

 

10 years ago

Vijimambo

9 years ago

Bongo5

Music: Ommy Dimpoz – Achia Body

Screenshot_2015-12-19-20-45-28-1

Wimbo mpya wa msanii Ommy Dimpoz baada ya kufanya vizuri na “Wanjera” Hii ndo single yake nyingine inatwa “Achia Body”, Producer Mofire.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

HUYU NDIYE OMMY DIMPOZ WA KITAMBO!

Stori: Musa Mateja
Tumetoka mbali! Picha ya staa wa Pozi kwa Pozi ‘PKP’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, aliyofotolewa enzi anaingia jijini Dar kwa treni imekuwa kivutio kikubwa kwa mashabiki wake na sasa inaelekea kutapakaa kila kona ya nchi na wengi wakibishana namna alivyokuwa awali na muonekano wake wa sasa. Huu ni muonekano wa Staa wa Pozi kwa Pozi, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ kwa sasa. ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani