Ommy Dimpoz: Narusha fedha, mikufu kuvutia mashabiki
NA RHOBI CHACHA
MKALI wa wimbo wa ‘Wanjera’, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ amesema hurusha baadhi ya vitu vyake vikiwemo mikufu ya dhahabu, fulana, kofia na fedha kwa mashabiki wake awapo jukwaani ili kuwashawishi waendelee kupenda muziki wake.
“Hakuna kitu ninachokipenda kama kurusha vitu vyangu mashabiki wangu nikiwa jukwaani hii inaonyesha jinsi gani nawapenda, lakini pia inaongeza burudani kwao huku wakiendelea kupenda shoo yangu na muziki wangu kwa ujumla,’’ alifafanua Dimpoz.
Aliongeza...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Jan
Mashabiki wamkera Ommy Dimpoz
NA JUMA HEZRON, TSJ
MSANII wa Bongo Fleva, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema anachukizwa na tabia ya mashabiki ambao wamekuwa wakifanya fujo kwenye shoo mbalimbali za wasanii.
Akizungumza na MTANZANIA leo, Ommy Dimpoz alisema kitendo hicho siyo cha kiungwana, mashabiki wamekuwa wakikosea na kuwavunjia heshima wasanii.
“Mashabiki wanatuogopesha, imekuwa kama jambo la kawaida kutufanyia vurugu na kusahau kuwa tunafanya shoo ili kuwapa burudani,” alisema Ommy Dimpoz.
Alisema mashabiki na...
10 years ago
Bongo506 Feb
Kalapina adai ‘Good Time’ aliyomshirikisha Ommy Dimpoz imemuongezea mashabiki wa kike
10 years ago
CloudsFM10 Feb
Picha za Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kimahaba zilipigwa usiku ‘mnene’,Dimpoz adai hakuwa na fahamu.
Zile picha za mahaba zilizosambaa kwenye mitandao zikimuonyesha Staa wa Bongo Fleva,Ommy Dimpoz na Wema Sepetu wakiwa kitandani zimezidi kuzua utata baada ya Ommy kusema hakujua alipigwa saa ngapi kwani hakuwa na fahamu bali aulizwe Wema.
Ommy amezungumza na Uheard na Soudy Brown alisema kuwa hana maelezo zaidi ya kuzungumza zaidi ya kusema kuwa hajui ni muda upi zilipigwa picha hizo.
Wiki hii picha hizo zilisambaa mitandaoni na kuzua maswali kuwa Ommy Dimpoz ameamua kujiweka kwa Wema baada ya...
10 years ago
Mtanzania24 Feb
Ommy Dimpoz kuwapenda wanaomchukia
NA JENNIFER ULLEMBO, DAR ES SALAAM
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amesema hakuna haja ya kuwajengea chuki watu wanaojifanya kukupenda lakini hawafurahishwi na mafanikio yako.
Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Dimpoz ambaye alishindwa kufanya shoo nchini Marekani kutokana na visa yake kuwa na mapungufu, alisema imekuwa ni jambo la kawaida wasanii kuchukiwa bila sababu za msingi.
“Unajua mara nyingi unapoamua kuweka chuki sababu ya watu fulani ambao...
10 years ago
GPL20 Jan
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/QLbL-lpQ9bY/default.jpg)
10 years ago
Bongo528 Nov
New Video: Ommy Dimpoz — Tupogo Remix