Oscar Pistorius na Reeva Steenkamp hawakuwahi kufanya mapenzi — asema Mama Reeva
Oscar Pistorius na aliyekuwa mpenzi wake Reeva Steenkamp hawakuwahi kufanya mapenzi, mama yake, June Steenkamp ameandika kwenye kitabu chake. Kwenye kitabu hicho, “Reeva: a Mother’s Story”, June Steenkamp aliandika kuwa binti yake alimueleza kuwa pamoja na kwamba walilala pamoja, hawakuwahi kufanya mapenzi sababu Reeva hakutaka kuupeleka uhusiano wao katika kiwango hicho. Pistorius alihukumiwa miaka mitano […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Mar
Reeva Steenkamp alimuogpa Pistorius
10 years ago
BBC10 years ago
BBC11 years ago
BBCVIDEO: Timeline of Reeva Steenkamp's death
10 years ago
StarTV22 Oct
Pistorius:Familia ya Reeva yaridhika
Mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius amehukumiwa jela miaka 5 baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp.
Hii ni baada ya mwanariadha huyo mlemavu kupatikana na hatia ya mauaji bila ya kukusudia.
Jaji aliyetoa hukumu hiyo,Thokozile Masipa,alianza kutoa kauli yake ya mwisho kabla ya kutoa hukumu saa mbili na nusu asubuhi na akasema ni changamoto kubwa kwake kupata adhabu ambayo itaridhisha pande zote kwenye kesi hiyo.
Pistorius aliondoka mahakamni na...
11 years ago
BBCPistorius quizzed on Reeva evidence
11 years ago
BBCVIDEO: Pistorius quizzed on Reeva evidence
9 years ago
BBCVIDEO: Father 'sure Reeva can rest now'
11 years ago
BBCVIDEO: Reeva's friends hoping for truth